Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

Hiyo France na German ondoa. Hao ni washirika lakini siyo wanaompatia silaha
Germany na France wanatoa silaha kama anavyotoa Israel.
Na tukio la May la Iran kushambulia Israel France ilitoa fighter jets kudungua makombora ya Iran.
 
Umemezeshwa propaganda za kitoto xnaa..
 
Acha kuropoka kama umetiwa usembe wewe.
Madai unayodai yote mabwana wakubwa wameyakagua na kugundua uongo.
Kujificha nyuma ya raia uongo,kuhifadhi silaha katika makazi ni uongo,kujichanganya na raia ni uongo.
Usitufanye sisi hatuna akili.
Juzi wamekutana na Hizbollah mpakani hao Israel wametwangwa kama vichaa tena porini sio uraiani.
Walivyo dunderhead wamemaliza hasira kwa raia wa Beirut.
Akati hizbollah wamewaacha mpakani.
 
Ugomvi umeanza August 23 2023 kwa Israel kuvamia Khani Younis na kuharibu mashamba.
Mind you kila mwaka Israel hufanya vurugu za kuharibu mashamba ya Palestina na kukanyaga wakulima kwa vifaru.
Usijidanganye kuwa chanzo ni Oktoba 7.
Hujui mengi wewe kaa kimya.
 
Inawezekana sijui mengi,, ila kosa lisemwe. Israel anapovamia analaaniwa na Hamas anapovamia naye alaaniwe.
 
'Two state solution' nifafanulie tafadhali.
 
Kuinyima Silaha Israel, wakati Iran inajaza Arsenals za Hezbollah,Hamas ni sawa na kutaka Israel iwe destroyed.
 
'Two state solution' nifafanulie tafadhali.
Kumaliza mgogoro wa Israel kunapaswa Kuna taifa kamili la Palestina na taifa la Israel lenye mipaka kamili. Itaondoa vita baina yao. Tofauti na ilivyo Sasa Israel ni taifa huru ambalo Kila mara linasogeza mipaka yake na wapalestina sio taifa huru Bali wanaoitwa walowezi ndani ya eneo taule la Israel
 
Mnawaamini Wamagharibi?
 
Mkuu,

Hujui Sheria za kimataifa. Zinakatakaza katu katu kuua raia au hata Kiongozi wa nchi. Ukifanya hivyo ni ugaidi na ni mauaji ya halaiki/kimbari kulingana na idadi utakayoua.

Ndio maana nasema kama ni Ugaidi Israel ni no.1
Sheria huwa zinavunjwa tu.Piga adui anapoumia.
 
Jeuri yote ni kutokana na mabwana zao Amerika.
 
Kashau wafaransa ndio walimsaidia akapata silaha za nuclear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…