Ujumbe wa vitisho ninaotumiwa na Really Pesa, je ni sahihi?

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
1,254
Reaction score
2,014
Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.

Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO. NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA. PUUZIA TU, UMAARUFU UNAUPATA LEO."

Natuma Tena link ipuuzie unyooke.

Je, Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?

Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
 
Screenshot_20240616-114906~2.jpg
 
Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.

Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."

Natuma Tena link ipuuzie unyooke.

Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?

Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Wahuni kawa report fasta
 
Angalia tu wasikuteke
 
"Hakuna kumlipa mtu mpumbavu kama huyu..."

Acha Uongo awana access ya kuwatumia watu wote uliokuwa nao ktk cm, labda uliyemuweka kama mtu wako wa karibu..

Hakuna kulipa, ni mwendo wa kuchimbana Mikwara tu hapo...

Mwanzo, mwisho..
 
Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.

Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."

Natuma Tena link ipuuzie unyooke.

Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?

Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Kama ni online we relax tu
 
Mkuu nakushauri kama bado unamarinda walipe tu. Utakubalije kuvuliwa ubingwa Kwa mkopo wa laki moja?

Nyau de adriz
 
Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.

Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."

Natuma Tena link ipuuzie unyooke.

Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?

Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Chief, achana nao tu hao...
Tushawazoea, anakupigia anaongea lugha zao za Matusi, unamsikiliza akikata cm tu..
Una-block...

Ndo dawa yao hao..., nchi ishauzwa hii....
Watu tunaishi na madeni kila kila Mahala....
 
Back
Top Bottom