Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Kulipa 😂Ni mwaka 2025 lakini cha ajabu zinabadilika dawa za malaria kifua ila dawa ya deni ni ile ile.
Kulipa 😂Ni mwaka 2025 lakini cha ajabu zinabadilika dawa za malaria kifua ila dawa ya deni ni ile ile.
USIWE MBISHI, HAYA NIMEYAONA KWA WATU WANGU WA KARIBU.."Hakuna kumlipa mtu mpumbavu kama huyu..."
Acha Uongo awana access ya kuwatumia watu wote uliokuwa nao ktk cm, labda uliyemuweka kama mtu wako wa karibu..
Hakuna kulipa, ni mwendo wa kuchimbana Mikwara tu hapo...
Mwanzo, mwisho..
Hahahahahahahaaaaaa kudadeki zakoAngalia tu wasikuteke
Una picha chafu kwenye simu yako?"PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."
Dhulma mkubwa wewe,lipeni pesa za watu .Uelewa wako ni mdogo, Rudia tena kusoma ujumbe.
Wanamdai,dawa ya deni ni kulipaWahuni kawa report fasta