Ujumbe wa vitisho ninaotumiwa na Really Pesa, je ni sahihi?

"Hakuna kumlipa mtu mpumbavu kama huyu..."

Acha Uongo awana access ya kuwatumia watu wote uliokuwa nao ktk cm, labda uliyemuweka kama mtu wako wa karibu..

Hakuna kulipa, ni mwendo wa kuchimbana Mikwara tu hapo...

Mwanzo, mwisho..
Hao wa online mzeee wahakikisha wamepata contact zakwenye simuyako ndio wanaokupa mkopo TU bet hapo jamaa kesho kama hawata Anza sumbua watuwake
 
Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.

Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."

Natuma Tena link ipuuzie unyooke.

Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?

Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Watasambaza picha zako zote za connection .

Wahi nenda TCRA kawàpelekee ili wadili nao.

Lakini pia nenda BOT, ili ujue wanakibali Cha BOT? Maana BOT ilipiga MARUFUKU taasisi za mikopo mtandaoni kuvujisha taarifa za wateje.

Lakini pia ilizifutia taasisi nyingi za mikopo mtandaoni kutokana na kukiuka masharti ya BOT.

Sasa usikute hao wanaokudai hawana leseni ya BOT . Lakini hata wakiwa nayo basi kwa Tangazo lao Hilo wamekiuka masharti ya BOT hivyo wanaopaswa wafungiwe.

Kila la heri.
 
Chief, achana nao tu hao...
Tushawazoea, anakupigia anaongea lugha zao za Matusi, unamsikiliza akikata cm tu..
Una-block...

Ndo dawa yao hao..., nchi ishauzwa hii....
Watu tunaishi na madeni kila kila Mahala....
Wala sijapanga kukwepa deni lao, Ila cha ajabu tarehe ya mwisho haijafika wameanza vitisho.
 
Walipe tu maana wanazo contacts zako.
Uliwaruhuru mwenyewe kuaccess contacts zako kama moja ya masharti yao.

Last week nilipokea sms kama hii, ni dogo wangu alikopa kweli.

"Habari, MWIZI na TAPELI sugu wa mitandao FLANI BIN FLANI mwenye namba 0684.****** anatafutwa na kampuni ya BORA PESA kwa kutapeli pesa kiasi cha SH 15,000 Alizokopeshwa hivyo Ukiwa kama mdhamini wake aliyekujaza kwenye form yake ya mkopo mwambie arejeshe pesa haraka Sana tumeambatanisha picha na kitambulisho chake WhatsApp.
 
Kama ulikopa kwnn usirudishe pesa ya watu? Umemaliza shida ehhh? Shida haiiishi na hizo pes zitakutokea puani kama si wewe watoto wako.... Acheni shortcut ... Nimeishi miongo karibuni natoboa 4 short cut zinawatomea watu puani.
 
Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.

Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."

Natuma Tena link ipuuzie unyooke.

Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?

Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Lipa pesa za watu
 
Elewa ujumbe au wewe ni mmoja wao?
 
Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.

Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."

Natuma Tena link ipuuzie unyooke.

Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?

Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
watatengenezea video za wewe unapigwa miti watatuma kwa jamaa zako watsapp
 
Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.

Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."

Natuma Tena link ipuuzie unyooke.

Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?

Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Ujinga kama huu ni exclusive kwa Tanzania tu kwa sababu ni nchi ya mananga na watu waoga.
 
Back
Top Bottom