Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Ndiyo Mkuu.Huo ni mkopo wa online?
Wahuni kawa report fastaNilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.
Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."
Natuma Tena link ipuuzie unyooke.
Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?
Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Angalia tu wasikutekeNilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.
Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."
Natuma Tena link ipuuzie unyooke.
Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?
Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Kama ni online we relax tuNilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.
Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."
Natuma Tena link ipuuzie unyooke.
Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?
Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Relax, endelea kula hela yao, tena ibetie mpe chelseaNdiyo Mkuu.
Ukisikia meseji ya kifiro ndio hio, lipa deni ulipokopa mboni hukuja kulalamika humu?Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Unataka mwenzio ujiweke rehani yeye mwenyewe? Hilo limeseji umelisoma vizuri?Relax, endelea kula hela yao, tena ibetie mpe chelsea
Nshakula hizo hela kiasi milioniUnataka mwenzio ujiweke rehani yeye mwenyewe? Hilo limeseji umelisoma vizuri?
Mkuu nakushauri kama bado unamarinda walipe tu. Utakubalije kuvuliwa ubingwa Kwa mkopo wa laki moja?Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.
Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."
Natuma Tena link ipuuzie unyooke.
Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?
Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Chief, achana nao tu hao...Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.