Hao wa online mzeee wahakikisha wamepata contact zakwenye simuyako ndio wanaokupa mkopo TU bet hapo jamaa kesho kama hawata Anza sumbua watuwake"Hakuna kumlipa mtu mpumbavu kama huyu..."
Acha Uongo awana access ya kuwatumia watu wote uliokuwa nao ktk cm, labda uliyemuweka kama mtu wako wa karibu..
Hakuna kulipa, ni mwendo wa kuchimbana Mikwara tu hapo...
Mwanzo, mwisho..
Tupe ujuziNshakula hizo hela kiasi milioni
Na hukuwahi kupitishiwa chatu kwenye mstari wa ikweta?Nshakula hizo hela kiasi milioni
Kumbe wanaweza kuniteka?Angalia tu wasikuteke
Dadeq, Hivi ni mamlaka gani inayohusika na kuratibu maadili ya Wafanyakazi wanaokiuka makubaliano ya mkataba?Kinacho fuata wanawatumia watuwote waliokwenye simuyako maujumbe ya ajabu ajabu aisee hawa dawayao walipe tuu
Hahahaha, Hatari.Wamesema 'UMAARUFU UTAUPATA LEO' wamejuaje kwamba wewe sio maarufu?
Watasambaza picha zako zote za connection .Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.
Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."
Natuma Tena link ipuuzie unyooke.
Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?
Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Wala sijapanga kukwepa deni lao, Ila cha ajabu tarehe ya mwisho haijafika wameanza vitisho.Chief, achana nao tu hao...
Tushawazoea, anakupigia anaongea lugha zao za Matusi, unamsikiliza akikata cm tu..
Una-block...
Ndo dawa yao hao..., nchi ishauzwa hii....
Watu tunaishi na madeni kila kila Mahala....
Hakuna anayeitaji kukwepa deni. Soma tena ujumbe vizuri.Ni mwaka 2025 lakini cha ajabu zinabadilika dawa za malaria kifua ila dawa ya deni ni ile ile.
Ni balaa.Nimeona wamesema UTAKOSA HAMU YA KUKOPA 😂
Lipa pesa za watuNilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.
Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."
Natuma Tena link ipuuzie unyooke.
Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?
Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Elewa ujumbe au wewe ni mmoja wao?Kama ulikopa kwnn usirudishe pesa ya watu? Umemaliza shida ehhh? Shida haiiishi na hizo pes zitakutokea puani kama si wewe watoto wako.... Acheni shortcut ... Nimeishi miongo karibuni natoboa 4 short cut zinawatomea watu puani.
Uelewa wako ni mdogo, Rudia tena kusoma ujumbe.Sisi marafiki zenu tukiwakopesha bila ya riba hamlipi ,bora mtishwe dhulmat wakubwa nyie.
Ni wahuni, Siku ya malipo haijafika washaanza vitisho.Achana nao,
siku nyingine mikopo mizuri nenda CRDB, NMB,
watatengenezea video za wewe unapigwa miti watatuma kwa jamaa zako watsappNilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.
Ujumbe huu hapa chini
" DHARAU, KIBURI NA KUPUUZIA TARATIBU UNAZOWEKEWA NA KAMPUNI ZITAFANYA UCHUKIE MIKOPO.NA USIPOKUWA MAKINI LEO UTAKOSA HAMU YA KUKOPA TENA.PUUZIA TU,UMAARUFU UNAUPATA LEO."
Natuma Tena link ipuuzie unyooke.
Je,. Ndo namna sahihi hii mikopo inavyoendeshwa?
Je, Mamlaka gani inahusika kudhibiti wafanyakazi wenye huduma mbovu kama hawa?
Ujinga kama huu ni exclusive kwa Tanzania tu kwa sababu ni nchi ya mananga na watu waoga.Nilikopa mkopo kutoka Really pesa na tarehe ya mwisho niliambiwa ni kesho ila wameanza kunitumia ujumbe wa vitisho.