Hahahaha... Le super mtindiz... Unamake money wap... Nadhan unatunzwa tu na marafik zako... Hahahaha yu know- Sure nimekuja nipo hapa huwa sikimbii wajinga, wasio na maisha kama wewe mimi I make money here wewe unaandika bure na bando juu sasa unaweza kunifikia akili mimi wewe, hahahahahahha weka picha ya ofisi yako maana nimekuwekea kule uone ninavyoishi, sibahatishi mjinga wewe hahahahahaha
le Mutuz
Hahahaha... Le super mtindiz... Unamake money wap... Nadhan unatunzwa tu na marafik zako... Hahahaha yu know
Hahahahaaa! Ulishaiona? 😀 😀Unakana nn sasa?kuendana na zile chat zako una 4.5 nch
bora umekuja nilikusibiri sana le mutuz
Hahahaha.. Le super mtindiz ulikuwaga role model Wang especially kwenye masuala ya elimu... Ila hii life style yako ya imenishinda aisee. .. Hv super mtindiz unaishu gan zaid ya kubebwa na marafik zako hapa town. . Hahaha
Hahahaha... Le super mtindiz... Unamake money wap... Nadhan unatunzwa tu na marafik zako... Hahahaha yu know
Hahahahahahahahaha Ila all and all napenda unavyotupenda wanawake hahahaha nakojoa
Ungeweka na ile picha ya Noah yako mambo ingekuwa bampa to bampa. Watu lazima wajue upo njema alaaagh!!- hahahahahhaa Picha inaonyesha mtoto wa kiume ila maneno ya jikoni sijui jinsia yako mkuu ila maneno yake yanakushitaki kwamba kuna tatizo kwenye jinsia yako maana mtoto wa kiume kuandika maneno yote haya tena kwa kutumia majina ya bandia kuhusu wanaume usiowajua hahahaha sina uhakika tu na jinsia yako,
- Kijana mdogo mimi sio level yako nina maisha wewe huna, tafuta maisha mimi ninayo
- Hiyo peke yake ni ofisi yangu hapa Posta Mpya, sasa weka yako kwanza tuendelee nikusaidie kukuelimisha kwamba mimi na wewe sio level moja ndio maana wewe untumia majina ya bandia mimi natumia jina langu kamili, ni kwa sababu wewe hujitambui mimi najitambua hahahahahahaha una matatizo ya maisha mimi sio chanzo chake hahahahaha
le Muituz
ukamwacha mama yako akafia kwenye jumba bovu we unatanua mjini hahaa laana nyingine bhana
Ungeweka na ile picha ya Noah yako mambo ingekuwa bampa to bampa. Watu lazima wajue upo njema alaaagh!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasikia jamaa wanapishana na jk miwili
Kuna kitu kinaitwa human right kimaheshimika sana nchi za magharibi...nadhani le mutuz ana haki ya kuishi maisha anayotaka bila kupangiwa...siungi mkono hoja ya ushauri wako na sidhani Kama ni sahihi kupendekeza ushauri wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahaaa le pumbuz hahaa kaz kulala hotelini tu hahaha huna hata nyumba huna hata tofali kazi kulala kwenye stoo za hotel tu
Hahaaaa haya msiyempenda kaja kudadadeki...wote mmesepa
Naona umeshikwa pabaya mkuu badala ya kujibu kwa hoja unatupia picha za wake za watu
- umeona nimekuja wanajikanyaga kanyaga na bando la ku beep hahahahahahahhaa ngoja niwape habari kamili za batazz batanann
le Mutuz
mkuu namba B tumeiona hyo embu sasa tuwekee na mjengo
Naona umeshikwa pabaya mkuu badala ya kujibu kwa hoja unatupia picha za wake za watu
Lumumba mna shida Nyie
Mkuu unazungumziaje suala la kunuka miguu eti ni kweli