- hahahahahhaa Picha inaonyesha mtoto wa kiume ila maneno ya jikoni sijui jinsia yako mkuu ila maneno yake yanakushitaki kwamba kuna tatizo kwenye jinsia yako maana mtoto wa kiume kuandika maneno yote haya tena kwa kutumia majina ya bandia kuhusu wanaume usiowajua hahahaha sina uhakika tu na jinsia yako,
- Kijana mdogo mimi sio level yako nina maisha wewe huna, tafuta maisha mimi ninayo
- Hiyo peke yake ni ofisi yangu hapa Posta Mpya, sasa weka yako kwanza tuendelee nikusaidie kukuelimisha kwamba mimi na wewe sio level moja ndio maana wewe untumia majina ya bandia mimi natumia jina langu kamili, ni kwa sababu wewe hujitambui mimi najitambua hahahahahahaha una matatizo ya maisha mimi sio chanzo chake hahahahaha
le Muituz