JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Rais wangu wa Tanzania, Wasalaam!
Iwapo kweli umechagua kuwa chura kiziwi, itoshe kukushauri kwamba uchague tena na maeneo ya kuwa kiziwi.
Sio kile kelele ihahitaji kuwa kiziwi, nashauri hili swala la wafanya biashara ujitokeze mwenyewe na iwe baada ya kupata ushauri wa kina. Kwa sasa ubebaki wewe tu kushugulikia hili swala.
Mara ya kwanza ilikuwa kariakoo tu sasa ni nchi nzima, na mwishoe italeta usugu. Hii itauwa mitaji ya baadhi ya wafanya biashara na itakuwa shida sana huko mbeleni, serikali pia itakosa pesa za kulipa mikopo hiyo. Neno lako moja tu linatosha.
Sipendi kuona mitaji ya wajasiliamali Ikipukutika, ila wao wamechoka kuwafanyia wajanja wachache waje wachukue wakapige ufisadi.
Lamda nikuongezee na hili, pale bungeni nako wanasiasa wanalindana sana huku mtaani waatu wanajua ukweli kwamba mawaziri wanabwia hela. Viwanda kama vya Sukari ndio vinaenda mwisho vile na wameshakata tamaa, msaada utoke wapi? Kuwa makini sana na hawa watu kabla nchi haijafika mbali
Nikutakie kilala kheri.