Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu.
Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na hauchezewi na mamlaka yoyote. kwa mfano mamlaka ni moja tu inayosimamia upimaji wa waombaji wa leseni na kuna stage ya kupass theory test ambayo ni lazima usome na kuelewa na baada ya hapo ukipata theory certificate ni lazima ufanye practical test ambayo ina vigezo vyote vya udereva means huwezi ku pass bila kutrain na kuiva barabarani.
.In contrast ni mchakato gani Tnzania wa kupata leseni ya kuendesha chombo cha moto.
mamlaka zina linkage kwa mfano Daktari akigundua hauko fit kuendesha chombo cha moto kwa mfano kama una tatizo la macho , kifafa , uendawazimu huzitaarifu mamlaka za usalama barabarani na haichukui muda unakosa leseni otherwise hata wewe dereva una responsibility ya kujishtaki.
Nchi yangu Tanzania na mamlaka husika ni sheria gani inambana dereva anapopata changamoto ya kiafya inayoathiri matumizi ya chombo cha moto.
mlevi kuendesha chombo cha moto(drank driving), kuendesha bila insurance, ama bila kuwa na leseni ni moja ya offence very serious na ukikamatwa utawekwa ndani, ipa faini ama kuwa disqualified .na hakuna mbadala.si ajabu drank driving ni janga kwa tunayoyaona hasa kipindi hiki cha hizi sikukuu.
Mama Tnzania ama mamlaka husika ni sheria gani inawabana drank drivers, non insured , ama unlicensed drivers na userious gani uliopo katika kusimamia kama hizo sheria zipo.
Kipengele kingine muhimu kabisa ni usimamizi wa vyombo vya moto. standard za vyombo vya moto . nchi zilizoona mbali kuwa hili suala ni serious zime set standards za vyombo vya moto. vyombo vyote haviwezi kuwa vipya ila kuna standard mfano tread ziwe na kina gani, wipers, za gari, break, taa, nk hukaguliwa kila mwaka na kupewa certificates. na zinapo expire hauruhusiwi kukanyaga barabarani labda ukutwe unaelekea kwenye test ya standars.
In contrast. nani anaangalia standards za vyombo vyetu. kwa kipato cha mtanzania wangapi wanajali service za vyombo vya moto kwa wakati. na ijulikane eneo hili nalo limemaliza watu wetu ndo maana utasikia basi limemaliza watu kwa sababu break zimegoma ama ukukani umekataa.
ni nani anaregulate training centres na kuandaa mitaala ya kufundishia.
lingine kwa kuwa tuna revolutionise nchi yetu kimaendeleo hatuna budi kuwa serious na mambo yanayorudisha nyuma hizi jitihada .kama nchi hili mnaliona si kipengere basi tuachane na ndoto za kusogea kimaendeleo. maendeleo si miundombinu pekee hata kidogo. we far away to be civilised society. l can say we are on critical point on loss of our people.
Hili halihitaji world bank ama experts kuja kuisaidia nchi tukisema we can . yes we can kama nchi .kama nchi ni kama hatuna maarifa.
Hatua sugu kama tulizozizoea .binafsi sizipendi na zinzjirudia zisizoleta mabadiriko yoyote kwenye sector hii iliyojigeuza zimwi mla watu wasokuwa na hatia.
kwa kuwa tunadhani maendeleo ni ma miundombinu basi serikali iwekeze kwenye barabara kwa kuweka dual carriage ways badala ya hizi nyoka za mkoloni ambazo zinatumaliza kwa kuvaana uso kwa uso .
1. matamko ya jeshi la polisi nayafananisha na zimamoto na ambayo hayadumu na huyeyuka kama barafu na hali kurudi kama mwanzo ndani ya muda mchache. kampeni zisizodumu na zisizo na usimamizi wala kuwa endelevu.
2.maafrisa tuliozoea kuwaita vehicle .mara maafa yanapozidi utawaona wakijibiringisha chini ya mabasi ati wanakagua usalama . na hii ni zimamoto nyingine kwani haina uendelevu wowote na mara nyingi hufanya kui please jamii na viongozi.
3. matamko ya viongozi wa nchi ambayo nayo ni temporary solution . hayawezi kuwa na mwendelezo kwani ni ya msimu na hawawezi kuwepo muda wote kusimamia matamko. kwa mfano kama mamlaka ya uteuzi unapomng'oa msimamizi wa eneo husika unaemteua ana tofauti gani na alieondoka kwani hukuta mifumo ile ile na kuja na tabia za kitanzania zile zile.
society yetu inahitaji tough rules and regulations ili tusogee. tujue vipaumbele vyetu na la muhimu zaidi rushwa iwekwe kwenye red alert . Taifa letu na jamii at large inadhani ma miundombinu ndo tafsi ya maendeleo. hasha we are dwelling on primitive situations. hatuwezi kamwe kuwahi kuprogress vyema kama hatu invest vyema katika social advancement kwa mambo madogo madogo. mbaya zaidi lack of exposure inatuharibia sana maendeleo kama jamii. watu wanakuja kujifunza miundombinu Tanzania kwa nini na sisi tusi invest kujifunza social advancement kwa wenzetu . inasikitisha sana at this century kama nchi hatuwezi kupata majibu ya ajali , wizi rushwa , utekaji , usimamiaji sheria halafu tunajidai eti uchumi unapaa.
as a nation lets always feel pride to create solutions by all means hasa kwa repetitive issues tuache kuwa kama watu wasiokuwa na uwezo wa kufikiri.
one case study ya kufungia. wakati najifunza gari Tanzania over 10 years ago. nakumbuka nili attend training lessons driving school moja iko magomeni. mwalimu wetu alitupeleka darasani sana sana nilijifunza alama za barabarani ambazo si ajabu nikipewa test ningetaja si zaidi ya tatu. practical tulipakiwa kwenye land cruiser trip ninazozikumbuka ni magomeni hadi kwa mkuu wa mkoa, then kariakoo ,mnazi mmoja , then lumumba back to magomeni na baadae tulienda mitaa ya magomeni kanisani si zaidi ya mara tatu. na sehemu ya mwisho ilikuwa back and forth sehemu ya jangwani ilipojengwa mwendokasi stand mwisho mwalimu akasema atauletea driving licence kwa kiwango fulani and that was it.
Tuweni serious Nation na zaidi tuache rushwa . aah muacheni ruswa maana binafsi sitegemei kuiangage by any means kwani naichukia .
niombe radhi sijaproof read.
mwananchi mwenye mawazo huru.