Hahahahaaa. Ndugu yangu uliogopa maana huyu dada alikua ajitia motoooTulianza kupishana humu ndanii kama mabasi ya kwenda mikoani heheheehe
Usijali kabisa wala sikuwa na shida na wewe kabisa najua kila nikiangalia notification naona shunie hewaa sio kama zamanii hata jukwaa la wakubwa siitwi tenaa
Ni vyema wagombanao ndo wapatano hata hivyo
Ahahahahah mimi kivuruge acha tuHahahahaaa. Ndugu yangu uliogopa maana huyu dada alikua ajitia motooo
Jamani ndio nani huyoUmelewaa haki
Misipende wadada wa Dar haki...Sakayo jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mpaka naogopa kufungua WhatsApp nikisoma kwa juu tu matusiYani kwanza juzi nilikustahi we nyau
Mfyuuuuuu ebu hukoHahahahaaa. Ndugu yangu uliogopa maana huyu dada alikua ajitia motooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani we ndio mchaga wa mziguaEbu uaintangaze tafadhali....
Temeke.... tehteehhh[emoji13] [emoji13]Moshi eeeh
Dada angu sakayo sio wa darMisipende wadada wa Dar haki...
Maana mambo ya kupimana tezi dume ni kushalilishana
Toba....[emoji12] [emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani we ndio mchaga wa mzigua
Haahahaha sawa nishayazoeaa jipange unichome haswaaSema na wewe una matusi yako kesho.
Jamani kwa mzigua kuna hanshaam nikaambiwa wako nikasema hapana mwache akikua atachangua mwenyeweeJamani ndio nani huyo
Nikuruhusu mimi tena au yeye unaetaka kumuita?Kweli kabisa mkuu,
Cc na Mimi nikimuita shemu utaniruhusu?