Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,236
- 669
Mwanakijiji
Augustine Moshi
Maneno mnayotumia ni ya kutisha watu ili waogope kujadili ukabila ambao unaendekezwa na wakabila wachache tu katika baadhi ya sehemu za serikali. Je tusiongelee hili kwa sababu ni taboo? mnaogopa kitu gani ili lisiongelewe? Kwa nini mnataka ukweli ujifiche? Wanabodi wengi hawachangii hii mada kwa sababu inawagusa na wanafahamu ukweli kwamba ukabila upo lakini wale kwa njia moja au nyingine wanaona ni afadhali usijadiliwe kwa nini hasa? watu wamechomewa hata nyumba nyie hili hamlioni? Au kwa sababu aliyechomewa nyumba sio mtanzania wa kabila lenu? James Mbatia ameajiriwa bila cheti na qualification zinazotakiwa je ni mazingira yapi yalitumika au kwa vile ni mchaga?
Tatizo hili lipo na linatakiwa kufanyiwa ufumbuzi hata kama sio leo ni lazima litatuliwe. Hata nchi za ulaya na marekani na kwingineko wanaweka taratibu kuona hili halitokei. Sisi Tanzania mnataka watu tuamini kwamba ni malaika.
Augustine Moshi
jokaKuu
Mie naona wewe ndio hujibu maswali na unapindisha hii mada kwa kurukaruka. Nimeuliza swali hili ukurasa wa 39 mpaka sasa hivi hakuna jibu. Naweka hapa kwa kifupi tena.Fungueni macho muone jinsi mnavyofanya argument kikabila. Nimeuliza swali Mmanda anaposema tusishangae TRA twende jeshini kwanza. Ana maana gani? Mbona hamtaki kuliongelea hili? Nafikiri ni nyinyi tu ambao mtapinga kama kuna ukabila Tanzania.
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=1867&page=39