Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Haya jamani tusonge mbele!!! let bygones be bygones!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Worm, Chuo Kikuu Dar, Wahaya wako wengi huko! tumeambiwa Jeshini wapo Wanyakyusa wengi... we have decided to break a principle and that principle will keep breaking us up!! Tukimaliza hayo matatu tuangalie Wapare wako wengi wapi...Wasukuma, n.k....
Worm, chuo kikuu mlimani kimejaa Wahaya, Muhimbili kumejaa Wachagga... ni makabila yale yale.. it has to be conspiracy of tribalists
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=1867&page=47Mswahili
Augustine Moshi.
sijatangaza chuki kwa wachaga wote. tizama vizuri nimekuwa nikimfagilia Tenga kama mtu makini si mara moja wala mbili.
au Tenga nae si mchagga? hakuna excuse hapa ni ukabila uliopo TRA.
Mwanakijiji.
najua wewe una lako mie siwezi kushughulika na wewe. nakuuliza vipi kuhusu mchango wa maiti wa TOBI? kijana aliyefia Brazil? tunajua wewe ni sehemu ya network hiyo ndio maana umekuwa ukitetea uovu TRA. soon tutaweka mtandao wa wauza madawa ya kulevya waliopo nje ya TZ. nitapita kote Holland, uswizi,America ya kusini, marekani, uk, uturuki,brazil tena sao paul, ugiriki na njia ya irani.
suburini zamu yako. hapa huwezi.

suburini zamu yako. hapa huwezi.wow.... I like your facts.. sasa mimi ni muuza madawa ya kulevya.. haya wenye kumuunga mkono Mswahili jitokezini kawapa fact!!
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=1867&page=52Mzee MwanakijijiHivi suala la Tobi na suala la Ukabila vinahusiana vipi? Ni mswahili aliyeleta na wengine wawili kuongezea suala la mimi kusaidia kuchangisha msiba wa Tobi ili kuhoji my credibility or intergrity. Now, kama hilo wangetaka liwe hoja wangeanzisha thread nyingine and let them discuss me if that gives them any pleasure.
Sasa, Mswahili amewasiliana na mimi na kasema hakumaanisha mimi niko kwenye network ya Wauza unga bali mimi ni "network ya wanaotetea uovu TRA". That is a fair allegation.
Sitaki kuwa issue kwani inapoteza muda na mtiririko wa hoja. Sitaki kumfanya mtu hoja hasa yale nisemayo juu yake hayahusiani na hoja za mtu huyo. Itakuwa ni pigo kubwa kama kile hoja zikiwa za moto tunaanza kuhamia kwenye "umesema hivi kwa vile wewe ni mtoto wa fulani", "unasema hivi kwa sababu huna kazi, n.k n.k"
Kama mtu huna hoja, ni bora ukae kimya na uendelee kusoma mada and enjoy it! Sasa, hebu tuachane na "mwanakijiji" na issues ambazo tunazo kibinafsi. Ieleweke kuwa sina kinyongo au beef na mtu yeyote humu tunayepingana kwa hoja. Wapo marafiki humu ambao kwenye suala hili tuko pande mbili tofauti na hilo halipunguzi heshima yangu kwao!
turudi kwenye issue: Kuna ukabila TRA kwa vile kuna watu wa kabila moja wengi?
mwanakijiji wrote: