Ukabila ni jambo lisilo semwa sana nchini lakini lipo sana kazini/maofisini

Sambamba na hilo kuna magroup ya kikabila pia wanayo wasapu yaani mfano mimi msukuma nikienda lindi nitaunganishwa kwenye group la wasukuma wa lindi yaani ukikutana na msukuma wa kule atakuambia lakini pia tuna group letu mwenzetu akipatwa na tatizo tuna saidiana nitamwambia kiongozi akuunganishe!!(huu ni mfano tu) Unaona jinsi ukabila unavyopaliliwa sasa hapa nchini!!
 
Mdogo wangu yuko Arusha ila wilayani analia na ukabila ,mara wamtishe ...Kwa kweli siwezi kuondoka mkoa wangu mpaka kifo ,huko kwingine naenda sana na kurudi ila kuishi kwa makazi hapana kwa kweli.
 
Mdogo wangu yuko Arusha ila wilayani analia na ukabila ,mara wamtishe ...Kwa kweli siwezi kuondoka mkoa wangu mpaka kifo ,huko kwingine naenda sana na kurudi ila kuishi kwa makazi hapana kwa kweli.
Huu wimbo wa Tanzania hakuna ukabila unaimbwa nje tu ila ndani hapakaliki hata mimi dogo kaajiriwa hivi karibuni
siku3 tu akaniambia watu wa huku wana ukabila balaa nikamwambia hata huku sema umepazoea na kuona ni kawaida.
 
Kwa hiyo hutaki watu wasaidiane we jamaaa una matatizo ya akili
Na siku zote mtu anaye kusaidia ni yule anaye kufahamu period
 
Wanyakyusa
Wachaga
Wahaya
Ukiwa wa kabila lao wanakupa priverage. Mimi siwezi kukupendelea kwa sababu wa kabila langu. Never
Wewe ni ng'ombe japo umesoma elimu yako inakusaidia kuibia watanzania wenzako tuu na kutangaza ukabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…