Ukabila ni jambo lisilo semwa sana nchini lakini lipo sana kazini/maofisini

Yaani ishu ya ukabila unawatoa wachaga, we kijana una wazimu.
 
Ng'ombe mama yako niliyemuibia
Na bado mwaka huu mtanyooka
Nyumbu nyie
Anzisha kampuni yako uajiri ndugu zako lasivyo utaendelea kuumia Sanaa

Jaman DJ weka kibao cha Mama mitano tena halafu usifanye chikichiki chiki chiki acha mpaka mwisho
Nan kama Mama
Mitano tena kwa Maza
 
Ajiri Ndugu zako ili wakija kukuliza ushindwe kuwahukumu.
Fungua kampuni yako uajiri ndugu zako na wewe nyumbu
Wakati natafuta mtaji ulinisaidia?
Naajiri ndugu zangu wenye sifa zinazostahili
Kama umekereka kashitak popote
Nyumbu wewe
 
Hata shuleni na vyuoni ukabila ni mwingi. Chuo nilichosoma Kuna kabila wanafunzi wake walikuwa wengine kuliko makabila mengine.
 
Ukabila wa wachagga kwenye taasisi za umma ama Serikali unatisha sana na hawana aibu hata kidogo nawaambia ni hatari sana, ipo siku inakuja tutataja hizo taasisi
 
Kwahio USAID ni majanga kuliko mafuriko? Karma is a bitch whose farther is Real
 
Hizi ni porojo za kitoto hakina uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…