watu wanalalamika kuwa huyo jamaa yako mwesigwa hana masters inayotakiwa kwa nafasi ya katibu mkuu wewe unapiga blabla hapaTanzania hakuna ukabila waliopata hzo nafac wanastahil msitake kumdhoofisha ktk utendaj wake kwa sababu ambazo hazna msing
Tra je mbona hamsemi mwatamilwa
Sunday Kayuni, Silas Mwakibinga na Fredrick Mwakalebela baadaye akarithiwa na Angetile Osiah walitoka kanda moja na hakukuwa na maneno, iweje Evodius Mtawala na Mwesigwa J Selestine walete maneno ya kikabila? Isitoshe mjumbe pekee wa kamati ya utendaji TFF ambaye ni Muhaya ni Rais pekee.... Kweli maisha bila unafiki hayaendi

INawezekana wana sifa.....Sema haiingii akilini....
Inakuwaje wenye sifa wanakuwa ni watu anaotoka nao sehemu moja tu?.....Mwesiga, Mtawala na kwa nini nafasi nyingine hajazijaza na kudai waombaji hawakukidhi vigezo?...Kwa nini anawaweka watu aina ya Mshangama na Madadi ambao pamoja na kukaa TFF miaka lolote hakuna lolote walilosaidia...Kwa nini asingeweka sura mpya kama lengo lilikuwa ni kuleta mabadiliko TFF....
Mwenzake Tenga nafasi kama hizi aliwaachia KPMG ama PWC(sina uhakika ni nani hasa) ambao walitangaza nafasi za kazi na kupitia majina ya waombaji ikiwa ni pamoja na kuwafanyia usaili...Na hapa ndipo walipatikana akina David Mwakalebela, Angetile Osiah, Florian Kaijage, Boniface Mgoyo Wambura na Jimmy Kabwe...Sasa yeye Malinzi kitendo cha yeye na TFF yake kutangaza ajira na kuwafanyia usaili na kutangaza waajiriwa wapya kinatia shaka na kulifanya suala la ukabila liwe na nguvu zaidi...Na wengine wanaweza wakasema hata hizo nafasi mbili hazijajazwa kutokana na 'wahaya' wenzake kutojitokeza kuomba kazi hizo....
Tenga siyo mchagga. ni mngoni.
Sunday Kayuni, Silas Mwakibinga na Fredrick Mwakalebela baadaye akarithiwa na Angetile Osiah walitoka kanda moja na hakukuwa na maneno, iweje Evodius Mtawala na Mwesigwa J Selestine walete maneno ya kikabila? Isitoshe mjumbe pekee wa kamati ya utendaji TFF ambaye ni Muhaya ni Rais pekee.... Kweli maisha bila unafiki hayaendi
Well done Jamal Malinzi...
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
na wewe Big Boss wetu ni Mhaya...
Asante sana. World cup here we go..2018.
Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
hapo hakuna hoja kwan nafac zilitolewa kwa kuzingatia vigezo mbalimbali na wakaomba kama walivyoomba wengine hvo kwenye vigezo hvo hapakuwa na kigezo cha kwamba kwa sababu malinzi raisi wa tff ni mhayawahaya awapaswi kuomba, mambo hayoyalishapitwa na wakati tumhukumu mtu kwa utendaji wake na si kwa ukabola, itikadi na wala dini yake, kajipange urudi upya
....
Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
Mimi niliwahi kusema malinzi ni mhuni na mwizi wa fedha watu wakanibishia, mtaipata fresh sasa