Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
TFF for now is quishney,ni kichaka au inataka kufanana na taasisi binafsi,tutegemee madudu zaidi,*wadau hatufahamu agenda wala mikakati au jitihada maalumu za kuinua soka letu till now !!
Mawenzi unanijua sikujui,nitakushukuru sana ukianika ushahidi hapa nakala ukampelekea IGP Ernest ukiainisha matukio yangu ya wizi,kumbuka wizi ni kosa la jinai kama raia mwema ni wajibu wako kuripoti matukio.
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa haya makabila makubwa matatu, wahaya,wachaga na wanyakyusa wakiwa mabosi wafanyakazi wengi ofisini wanakuwa wa kabila moja. Naweza kusema jamal malinzi ameanza vibaya sana uongozi wake. Ukionekana unafanya uteuzi kikabila mafanikio yanakuwa madogo.
Nafasi ya katibu mkuu wamechukuwa mtu ambaye ana sifa ndogo kuliko waombaji wengine. Mwesiga ana degree moja tena ya international relation wameamuacha mtu kama henry tandau ambaye ana masters ya michezo na uzoefu kibao.
Binafsi sitaki kuamini kwamba watanzania wengine hawana sifa za kuwa viongozi tff. Time will tell
Una hamu na ban wewe
Aliofficeyekuambia kwamba watanzania wengine hawana sifa ni nani. Ukataka kutuaminisha kwamba wahay tu ndio wana sifa za kuwa viongozi na sio watanzania wengine. Chukulia nafasi ya katibu mkuu, mwesiga ana degree ya moja tena ya international relation anaachwa mtu kama tandau ambaye ana masters ya michezo na sifa kibao za uongozi wa michezo.
Watu wakabila kama malinzi hawatakiwi kuhold public office
escober Ndugu Tandau hakuomba nafasi yoyote ya uongozi TFF.
Enzi za Tenga usaili ulikuwa unafanywa na kampuni professional toka nje. Huyu mhaya kafanyia chumbani kwake!
mawenzi you think so? I agonized and fretted over these appointments.usisahau kuwa celestin alikuwa gs wa yanga na evodius alikuwa gs wa simba,hivi vilabu havikuwapa kazi kwa uhaya wao, that is certain,kwa watu wengi it might sound trivial au insignificant but kwa mpira wetu it carries a lot of weight.all factors remaining the same utaelewa.uwezo wa utendaji? Tuwape muda, binafsi ninaamini wataweza.
niqqas hoe nakuomba uwe na subira, i know exactly what i am doing, sijaingia tff bila mpango kazi.
Mimi pia niliwaonya kuwa Huyo Malinzi alikuwa anataka hicho cheo kibiashara zaidi na hiyo timu aliyoipanga ni kufanikisha malengo yake ya wizi; it will not take long before I am vindicated!!!
inawezekana jamaa si mkabila kabisa, alikuwa anaangalia vigezo wakapita wote hao. angekuwa mkabila angeshanotice hilo na angechanganya, wazo la ukabila halikuwepo kichwani mwake ndio maana unaona hakuwa na caution yeyote ya ukabila. kama angekuwa na akili ya kikabila angejistukia, hana akili hiyo ndio maana unaweza kuona sasahivi ndio anastuka kuwa kumbe sote tumekuwa wahaya, si ajabu hata hajui kama wote hao ni wahaya.
naona mhaya upo bize unamtetea mhaya mwenzako. Nashindwa kuelewa kwa nini nyie wahaya mnakuwa wakabila kiasi hiki.
Jamaa kuwa raisi mwezi mmoja tu amewajaza wahaya wenzake hapo tu. Inamaana hamna watanzania wengine wenye sifa za kuwa viongozi tff. Prove me wrong
Haka kajamaa Malinzi ni kapu uzi tu!
Diversification ni muhimu sana kwenye mambo ya uteuzi!Hata kama Katiba inakuruhusu inabidi atumie common sense tu!Je tungejisikiaje kama JK angeteau Baraza lake lote la Mawaziri toka Pwani?
Miaka yake minne itapita hivi hivi bila lolote la maana haka kavulana!
Kama Edo kaandika haya basi atakuwa amejiunga na akina Pasco wa JF, na akina ARAP SANG wengine kueneza uchochezi wa kidini, kikabila, kikanda na kadhalika. nasema haya kwa sababu kupeana majukumu ili kuendesha taasisi, shirika na mengine kama haya ya umma, hakutakiwe hata kidogo kufuata misingi ya kikabila, kidini,rangi, n.k. Kinachotakiwa kufuatwa ni uwezo binafsi wa mteuliwa kumudu kutimiza majukumu yake aliyopangiwa katika nafasi aliyoteuliwa.
Edo atwambie hawa walioteuliwa hawafai kushika nyazifa hizo kwa kuangalia uwezo wao binafsi wa kufanya kazi? Kama hawawezi basi waondolewe mara moja....nasema waondolewe mara moja ila si kwa uhaya wao bali kwa viwango vyao vya utendaji kazi.
....Tupinge kwa nguvu zote wale wote (akiwemo na EDO) wanaoleta mada, propaganda za kikabila, kidini, nk. hapa nchini na ulimwenguni kwa ujumla.
Soka letu ndio ninaelekea kuzimu,Malinzi zaidi ya kulipa visasi ni kuwapa ulaji marafiki,sitashangaa wakati wakiongea na wakuu wa kamati lugha ikawa kihaya/english kwani jamaa ni wasomi,pia yupo na DALALI darasa la saba
binafsi sina matumaini
Huu ukabila unauzungumziaje?