Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu
Ninapoishi ni karibu na hostel ya chuo flani hapa Dar,

Niseme Tu wazazi mlioko mikoani mnaleta watoto wenu mnawageuza makahaba. Watoto wanatumika sio mchezo. Ikifika jioni Magari yanapack kama yako gereji .

Daaaah

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tena hakuna mkakati wowote kudhibiti hali hii
Mabinti wengi sana maturation yao wame ya weka kwenye mapochi ya wanaume.

Hamna kitu kinacho waumiza mabinti KUFUATA TRENDS. IPHONE mpya ikitoka anataka kuwa nayo, kiatu cha brand fulani anataka kwa nayo,nguo na mapochi ya brands fulani anataka kuwa nayo na mwisho anataka kuwa na bwana mwenye gari.

Hapo sasa ndipo wanapo umia hizo TRENDS zina hitaji hela na yeye hela hana.Kilichobaki ni kukiuza kipochi manyonya chake kwa wanaume tofauti tofauti ili awe na hela ya kukimbizana na hizo trends.

Kwa kifupi hamna utumwa mbaya kama wa kukimbizana na trends wakati hela huna,siku hizi hata watoto wa kiume wame uingia huu mtego wa kufuata trends na mara nyingi huishia pabaya.

Trends trends trends zina waharibu vijana wa siku hizi.
 
Mabibo Hostel?
Hapana sio ,

Ni kingine.

Na ninazifaham hostel nyingi Tu binafsi yaani ikifika Giza ni uasherati Kwa kwenda mbele. Waume za watu wanajazana hapo ....

Kama sasa hivi ni likizo Ila kuna watoto WA kike wako hostel tangu mwezi WA 7 , huwa najiuliza hawa watoto wanakaaje hostel na vyuo vimefungwa hao wazazi wao hawana muda nao ?

Ila nilichogundua wazazi hawana time na watoto wao.

Kingine umasikini umasikini umasikini hawa watoto WAna shida Sana. Mtoto WA kike unakuta Hana hata hela ya Kula na mzazi Hana time nae!

Sababu nyingine ni ulimbukeni. Kuna watoto WA kike ni limbukeni saaaaana. Mtoto anakuja Dar kutoka huko Namtumbo anajifanya anaijua Dar kushinda wazawa. Anataka Viwanja vyote avijue! Anaishia kudondokea Kwa wahuni wanamchakaza Ile mbaya!

Wanampiga kama ngoma, tatizo wazazi tunawategemea watoto baadala ya mtoto kumtegemea mzazi utakuta mzazi ana muomba pesa mtoto wake ambaye ni mwanafunzi.
 
Hapa udom ukahaba umefikia kiwango cha kutisha..nadhan sababu ya ukahaba ni freedom, kukutana na new faces nyingi, kukosa mahitaji muhimu na kukosa self control/ assertiveness
 
Mabinti wengi sana maturation yao wame ya weka kwenye mapochi ya wanaume.

Hamna kitu kinacho waumiza mabinti KUFUATA TRENDS. IPHONE mpya ikitoka anataka kuwa nayo, kiatu cha brand fulani anataka kwa nayo,nguo na mapochi ya brands fulani anataka kuwa nayo na mwisho anataka kuwa na bwana mwenye gari.

Hapo sasa ndipo wanapo umia hizo TRENDS zina hitaji hela na yeye hela hana.Kilichobaki ni kukiuza kipochi manyonya chake kwa wanaume tofauti tofauti ili awe na hela ya kukimbizana na hizo trends.

Kwa kifupi hamna utumwa mbaya kama wa kukimbizana na trends wakati hela huna,siku hizi hata watoto wa kiume wame uingia huu mtego wa kufuata trends na mara nyingi huishia pabaya.

Trends trends trends zina waharibu vijana wa siku hizi.
Mkuu umeongea hoja ya msingi sana. Mambo ya kuiga na kujidai kwenda na wakati ni mojawapo ya sababu kubwa zinazochangia ukahaba vyuoni. Tatizo hili haliishii vyuoni tu, bali huendelea mpaka kwenye ndoa. Upumbavu huu umekuwa chanzo cha ndoa nyingi kuyumba au kuvunjika kabisa. Bahati mbaya jamii imelipokea hili kama mahitajio ya wakati kwa mwanamke.
 
Hapa udom ukahaba umefikia kiwango cha kutisha..nadhan sababu ya ukahaba ni freedom, kukutana na new faces nyingi, kukosa mahitaji muhimu na kukosa self control/ assertiveness
Kiasili kabisa mwanamke hana uwezo wa kuweka mipaka bali mwanamke huwekewa mipaka. Kitendo cha kumsaidia kwa kuondoa "sheria kandamizi" ni kitendo cha kumwondolea mipaka na hivyo anaweza kufanya lolote pasipo majuto. Hajui kuweka mipaka, halafu hata iliyopo imeondolewa, ndio maana tumefikia kujadili kina mama waendelee na masomo shule za msingi na sekondari. Sasa hakuna mwalimu mzuri wa mapenzi kwa mwanamke kama mwanamke mwenzake. Vitoto vitavurugwa huko mpaka basi, vilifikia umri wa kwenda chuo tayari ni vikahaba vizoefu. Kifupi zinaa imehalalishwa
 
Labda ungeelezea wanakuwa wamebanwa kivipi. Pia unadhani wakipewa uhuru toka awali (kuanzia elimu ya msingi) unadhani wanabadilika na kuwa vijana wenye maadili mema?
Wengi wanakuwa chini ya uangalizi wa wazazi na walezi huku wakielekezwa na kusimamiwa kila kitu, ghafla wanapofika wakati wa kuingia chuo wanakuwa huru, sasa matumizi ya huo uhuru ndio tatizo.
 
Wengi wanakuwa chini ya uangalizi wa wazazi na walezi huku wakielekezwa na kusimamiwa kila kitu, ghafla wanapofika wakati wa kuingia chuo wanakuwa huru, sasa matumizi ya huo uhuru ndio tatizo.
Maana ya uangalizi kwa mtoto ni kumjengea tabia ya kuyakabili mambo kwa mfumo huo anaolelewa nao hata pale arakapojitemea. Duniani hakuna mzazi mwenye akili timamu atamwacha mwanaye afanye atakavyo. Sasa ba si malezi sio kunyima uhuru bali ni kuelekeza namna ya kuutumia uhuru ulionao.

Tatizo hapa haliwezi kuwa kunyimwa uhuru bali ni kukosa msingi sahihi wa malezi, ndio tatizo kubwa kwa sasa. Hawa watoto wamejazwa mambo ya kijinga akilini kama maisha feki ya bongo movie, miziki ya kipumbavu, mifano ya hovyo wanayoiona mitaani wakati wa makuzi. Kumbuka akiki changa haiwezi kupambanua lipi jema lipi baya. Sasa wanapokuwa mbali na ndugu na jamaa ndipo hutaka kuishi maisha ya kuigiza, matokeo yake ni haya tunayoyaona hivi leo.
 
Habari wana jukwaa...

Ukahaba unaweza kupungua ila kuisha kabisa sina uhakika. Ila huu ukahaba wa waziwazi ndo tabu kiukweli.

Chanzo cha habari (Jamvi Tv) kimeripoti kuwa serikali imeshindwa kuthibiti biashara ya ukahaba .. serikali imeshindwa vipi? Au wateja ndo hao hao.

Serikali si washikaji wenzetu.
Swala dogo sana kukomesha ukahaba kwanza kuna njia mbili hapa naziona.
Nchi iongozwe kwa misingi ya dini ya kiislamu.

Au wafunge bar, casino,club, saloon zenye huduma ya massage nadhani hapa watakuwa wamefika hata asilimia 70.

Serikali haiwezi kusema imeshindwa kuthibiti ukahaba ilo nakataa kabisa sema kwakuwa wanunuzi nao wako serikalini inakuwa ngumu sana kuwa na mikakati thabiti.

📌 Jiulize hao makahaba pindi wanapokamatwa mbona wanaonga pesa na wanatolewa. Afu kufanya kazi ya ukahaba ni upungufu wa MAARIFA afu akili chenga.

📌 Wasichana wanatoka mikoani kuja dar kufanya shughuri za ukahaba mwingine anakuja kujificha bar kuwa yeye ni mhudumu wa bar kumbe anauza sangara.

Wanakataa kuuza karanga wanaona wauze miili yao .
📌 naomba tujadili hili maana uku vingunguti tabata wanauza wazi wazi.
 
Una upungufu wa maarifa Yaani badala ya serikali imalize umaskini unataka wafuatilie wauza mbususu , hawauzi kwa kutaka wengi wao , wanauza kwa sababu ya njaa tu na shida .
Serikali itoe ajira au ieke modalities za kuvuta wawekezaji watoe ajira ,umalaya utapungua asilimia 98%
 
Back
Top Bottom