Basi hii ajali itakuwa imemeza watu wengi sana tutegemee msiba mzito sanaInasemekana kivuko cha watu 100 kilikuwa na watu zaidi ya 400,hakuna takwimu sahihi kwa chombo nyeti kinachobeba maisha ya watu.
Waafrika bado tuna safari ndefu sana
Upuuzi tu unaandika wewe walahi!Hivi boti za doria za polisi na JWTZ hazina taa, mbona zina tochi kubwa kwa juu zenye uwezo wa kumlika zaidi ya mita 200.
Hizo boti zipo ni juzi tu tulitangaziwa kuwa serikali imenunua boti za doria za kisasa na kupelekwa ziwa Vitoria na zanzibar.
Hii kauli imeleta kichefuchefu sana, atumbuliwe huyo mkuu wa mkoaAkili za viongozi wa awamu hii ni Mungu tu ndiye anayezijua, hivi utasitishaje kuokoa mtu anayetapatapa kujiokoa kwenye maji, mtu ambaye ukichelewa hata kwa dakika moja tu anazama, halafu useme subiri nitakuja kesho asubuhi, inaingia akilini kweli?
Ningekuwa mimi Magufuli wote waliohusika na kusitisha kazi ya kuokoa leo wasingeingia ofisini.
RIP waliotangulia mbele ya haki, ugua pole majeruhi.
View attachment 872858
Nikukumbushe tu 90% ya wavuvi wanaingia ziwan usiku na kutekeleza shughuli zao usiku,,,na tecnologia ya kuzuia Giza mkuu inakua tatizo?.. Boti za kuwasaka wavuvi haramu zipo kibao na zinafanya kazi 24HRS ,,ila za kuokoa watu ambao na hakika baadhi walikua hai hazipoSamahani kwa kusema hivi ila ninadhani kwa namna fulani waokozi walikua sahihi kusitisha zoezi kwenye mazingira yafuatayo:-
Kama teknolojia na njia zetu za uokozi si fanisi kwa wakati wa usiku, hivyo kuendelea na uokozi inakua si salama kwanza kwa waokoaji wenyewe na pia mafanikio yake ni madogo mno, ni afadhali kusitisha zoezi hadi kutakapokucha.
Hakuna anayenufaika na vifo vya ndugu zetu, sitaki kuamini kwamba zoezi lilisitisishwa "JUST FOR LEISURE", kwa sasa bado hatuna uwezo mkubwa sana wa kufanya uokozi wakati wa usiku, na isingekua habari njema leo hii kusikia kwamba tumefanikiwa kuokoa wawili na tumepoteza waokozi nane.
Mwenyezi Mungu atupe nguvu na roho ya ustahimilivu watanzania katika kipindi hiki kigumu. Amen
1. Inasemekana kivuko kimefanyiwa ukarabati miezi kama miwili iliyopita kwa kuwekewa injini mpya za thamani ya milioni 190 ( kama sijakosea).....
Tungechukua tahadhari kabla kuzuia matatizo kama haya.
Yenyewe yakishashindilia miugali yao ya bure na kuvimbian mitumbo at taxpayers expense hayajali.Kweli kabisa Mkuu..
Serikali inadharau sana hoja na maeneo wanayotoka wabunge wa upinzani.
Hahaa... nimecheka kwa sauti utadhani mazuri.Labda wameina uopoaji ni mwepesi kuliko uokoaji.
Inawezekana...Meli zote zinakuwa na mstari wa usalama.ambao maji hayatakiwi yauguse huo mstari...maji yakiugusa inamaanisha uzito umezidi.. Tatizo ni stability.,,Meli ilikata kona vibaya/ ghafla hivyo mizigo ikahamia upande mmoja, ikakosa balance ikapinduka...Binafsi nimeski
Binafsi nimesikia redio moja inaitwa Milele FM ya nchini Kenya inataja kuwa karibia watu 400 ndiyo walikuwa kwenye hicho kivuko japo sijui km ni kweli au LA!
Hivi wale mapolisi na wanàjeshi wenye nguvu nyingi za kudhibiti mikutano ya chadema, wizi wa kura na kusherehekea ushindi wa ccm hawana hata Helikopita za kuokoa watu wakati wa majanga??Akili za viongozi wa awamu hii ni Mungu tu ndiye anayezijua, hivi utasitishaje kuokoa mtu anayetapatapa kujiokoa kwenye maji, mtu ambaye ukichelewa hata kwa dakika moja tu anazama, halafu useme subiri nitakuja kesho asubuhi, inaingia akilini kweli?
Ningekuwa mimi Magufuli wote waliohusika na kusitisha kazi ya kuokoa leo wasingeingia ofisini.
RIP waliotangulia mbele ya haki, ugua pole majeruhi.
View attachment 872858
Kabisa, na yule anavyojua kutumia matukio ungeona mpaka meli za wachina hapoHawa ndio wanafanya makonda aonekane bora. Nina uhakika asigesema watu wakalale