Abuu Said
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 4,010
- 4,763
Basi hii ajali itakuwa imemeza watu wengi sana tutegemee msiba mzito sanaInasemekana kivuko cha watu 100 kilikuwa na watu zaidi ya 400,hakuna takwimu sahihi kwa chombo nyeti kinachobeba maisha ya watu.
Waafrika bado tuna safari ndefu sana