Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Eti walifunga engine zilizooza kama za Mv Bagamoyo
 
Hiki kivuko nimekiona kwenye makala moja last week tbc kikifungwa injini na gearbox mpya kutoka kwa mkandarasi wa ndani!! wakakisifia kitakua na speed from two hours to just 45mn to 1 hour
Hapa watafungwa watu km ni kweli
 
Nimecheka kwa sauti ya juu as if mazuri........ Maana hata mimi mwenewe nilitaka tuukusema alikopita sasa ndio tunaanza kusikia anyway.............. Mungu wasaidie
Niliwahi sema huyu jiwe asije kufanya tena ziara kili na arusha nikatukanwa sana ila mtaelewa maana yake.
 
Ifuatiliwe kama injini zilikuwa mpya au used,watu washapige hela ya mpya wamefunga kuukuu.
 
Gundu anayo baba na mama yako ndo maaana hadi Leo unaishi kwa shemeji yako

Nasubiria kampeni ya 2020 maana ntacheka nikizionganisha clip

'Mimi ni ...(kichaa)... jiwe kweli kweli... sijaribiwi, I wish i kuldi be IGP, Kuna wale wanaosema mabadiliko ni kuzungusha mikono mimi naweza kuzungusha ata mara hamsini buhahahaha

Fyatueni watoto elimu ni bure

I can't wait kwa kweli
 
Magufuli alisema AMECHOKA KUTOA RAMBI RAMBI, sijui safari hii atakaa kimya. Na hata akikaa kimya bado sifahamu kama ataelekeza ilio kwa ma-trafik au K Lugola au SUMATRA. Tusubiri.

Mimi natoa pole kwa wote waliofiwa na ndugu na jamaa.
 
Poleni wote mlioguswa na janga hili la ajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…