Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi sema huyu jiwe asije kufanya tena ziara kili na arusha nikatukanwa sana ila mtaelewa maana yake.Nimecheka kwa sauti ya juu as if mazuri........ Maana hata mimi mwenewe nilitaka tuukusema alikopita sasa ndio tunaanza kusikia anyway.............. Mungu wasaidie
Gundu anayo baba na mama yako ndo maaana hadi Leo unaishi kwa shemeji yako
Sasa kwani serikali ndio imepeleka hiyo ajali?Utasikia Serikali haikuleta hii ajali.
Poleni sana mliofikwa na hilo janga!
Vitendea kazi vipo?Naomba kusitokee habari Mbaya.... waokolewe kwa haraka na kila mtu arudi kwake salama
Amiiin.