Afu mipango sio matumizikwahio unamaanisha alipiga kura kukataa bajeti na bajeti haikupita hvyo kupelekea kukosekana kwa pesa ya kukarabati hcho kvuko? mi navyofaham bajeti ilipita labda utafute nyngne ya kumhusisha huyo mbunge wa chadema, nyie lumumba akili zenu mnazijua wnyw
Hicho ndio kipaumbele chao na sio hayo mengine!!!Lakini pesa za kuwanunua akina Waitara na Mtatiro zipo, si ndio?
Kuitwa mjinga hata sio tusiSiamini kama wewe umefikia hatua ya kuniita mjinga, je kwa vigezo gani ulivyovitumia nakutambua ujinga wangu?? Je nini nilichokukosea hadi unite mjinga?? Heshima nikitu chenye thamani sana, sijapendezwa na kauli yako. Binafsi sijamlenga mtu wala kumshambulia mtu binafsi, naomba tuheshimiane tu, kama mada yangu imekuudhi, basi nakuomba msamaha, tafadhali Kidamwa tusivunjiane heshima.
SikilizaView attachment VID-20180921-WA0006.mp4Acha ukuda...grow up...
Sawa..inawezekana hawana VIFAA.
..pia hawana wazamiaji wengi wanaotosha kufanya kazi masaa 24.
..unajua wazamiaji wana muda maalumu wa kukaa ndani ya maji, wanapozidisha wanakuwa wanahatarisha maisha yao.
cc Richard
Unaambiwa hii Kaa FalaKwa kweli hili linashangaza, yaani tumeambiwa meli ilikuwa na watu 400+ na walioopolewa ni kama nusu tu, maiti na majeruhi! Then hao wengine wanawaachia samaki na kaa wawatafune? Wanakimbilia kusema majeneza yapo tayari...[emoji848][emoji18]
Ama kweli Mungu turehemu Watz!
Ndo umeongea nnNimesoma kwa kina andiko lako Pascal Mayalla, naamini mtu yeyote aliyesoma shule na hiyo elimu ikamstaarabisha hawezi kukubaliana na hoja yako kwamba eti watu hawawajibiki kwa makosa ambayo ama ni moja kwa moja wamehusika au ni kwa migongo ya wsnawaongoza, Tumeshuhudia, akina Tibaijuka. Muhongo, Kitwanga. Nape, Nchemba, Je hao walipowajibika ilikuwa enzi ya Baba wa Taifa hili? Hasira yako hakika inatokana na ndugu yako kuwajibika ? Au inatokana na chuki yako binafsi? Binafsi nakufahamu sana pengine kuliko hata unavyojifahamu wewe. Kila Mara mandiko yako huwa ni ant system, lakini unasahau kuwa Taifa hili limekusomesha , linakupa fursa ya kujivinjari mitandaoni kwa gharama nafuu kabisa, kuwa na shukrani kwa Serikali yako. Siyo kila siku kuibeza.
Ndo tuache kuamini kazi zakufanyika huku kamera zinamulika ka tochiIdadi ya abiria kutojulikana ndo inanisikitisha inamaana ticket hazijulikani zilikatwa ngapi na sio za EFD kweli watu bado watakua wanapiga tu.
Pamoja na ubovu wewe ulishaona wapi eti watu walikimbilia kutoka hivyo uzito ukazidi upande mmoja ndio kikabinuka!!! Kweli??Rest in peace...lakini kwann hatujifunzi kwa mv bukoba na mv spice?..maana chanzo ni kile kile cha kuzidisha mzigo...dah something is wrong with someone responsible
Hakuna namna ni lazima wawajibikeNilichokiona ni kwamba Mbunge wa jimbo husika alikwisha toa tahadhari mapema kwa Serikali, Kwa kilichotoea ni dhahiri Serikali ilishindwa kuwajibika. Haitumiki kisiasa ila ni hali halisi.