Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Poleni wafiwa mungu awape subra katika kipindi hichi kigumu mlicho kuwa nacho
 
Halafu wakale wapi? Hapa kila mtu yuko anatubu mpaka dhambi za jirani!!
 
Hili tukio limenigusa mno ni kama yale yanayotokea middle east watoto wazee wanavyouawa kila day...Mungu tunaomba uwafanyie wepesi ndugu zetu wa middle east na waliopoteza maisha ktk ajali ya mv nyerere Walaze mahala pema!
 
kwahio unamaanisha alipiga kura kukataa bajeti na bajeti haikupita hvyo kupelekea kukosekana kwa pesa ya kukarabati hcho kvuko? mi navyofaham bajeti ilipita labda utafute nyngne ya kumhusisha huyo mbunge wa chadema, nyie lumumba akili zenu mnazijua wnyw
Afu mipango sio matumizi
 
Siamini kama wewe umefikia hatua ya kuniita mjinga, je kwa vigezo gani ulivyovitumia nakutambua ujinga wangu?? Je nini nilichokukosea hadi unite mjinga?? Heshima nikitu chenye thamani sana, sijapendezwa na kauli yako. Binafsi sijamlenga mtu wala kumshambulia mtu binafsi, naomba tuheshimiane tu, kama mada yangu imekuudhi, basi nakuomba msamaha, tafadhali Kidamwa tusivunjiane heshima.
Kuitwa mjinga hata sio tusi
 
Chombo kina uwezo wa kubeba watu 100 sawa sawa na tani 25,sasa hao watu 400 ilikuaje watu wazidishwe
 
..inawezekana hawana VIFAA.

..pia hawana wazamiaji wengi wanaotosha kufanya kazi masaa 24.

..unajua wazamiaji wana muda maalumu wa kukaa ndani ya maji, wanapozidisha wanakuwa wanahatarisha maisha yao.

cc Richard
Sawa
tapatalk_1537542527040.jpeg
 
Kwa kweli hili linashangaza, yaani tumeambiwa meli ilikuwa na watu 400+ na walioopolewa ni kama nusu tu, maiti na majeruhi! Then hao wengine wanawaachia samaki na kaa wawatafune? Wanakimbilia kusema majeneza yapo tayari...[emoji848][emoji18]
Ama kweli Mungu turehemu Watz!
Unaambiwa hii Kaa Fala
 
Nimesoma kwa kina andiko lako Pascal Mayalla, naamini mtu yeyote aliyesoma shule na hiyo elimu ikamstaarabisha hawezi kukubaliana na hoja yako kwamba eti watu hawawajibiki kwa makosa ambayo ama ni moja kwa moja wamehusika au ni kwa migongo ya wsnawaongoza, Tumeshuhudia, akina Tibaijuka. Muhongo, Kitwanga. Nape, Nchemba, Je hao walipowajibika ilikuwa enzi ya Baba wa Taifa hili? Hasira yako hakika inatokana na ndugu yako kuwajibika ? Au inatokana na chuki yako binafsi? Binafsi nakufahamu sana pengine kuliko hata unavyojifahamu wewe. Kila Mara mandiko yako huwa ni ant system, lakini unasahau kuwa Taifa hili limekusomesha , linakupa fursa ya kujivinjari mitandaoni kwa gharama nafuu kabisa, kuwa na shukrani kwa Serikali yako. Siyo kila siku kuibeza.
Ndo umeongea nn
 
Haya mambo ndio ccm wanayapenda hili washughulikie mazishi, lakini muda wananchi wanalilia kivuko walaaa walikua wapo busy kununua wabunge.....haya furahini sasa mlichokua mnakitaka kimetokea
 
Mtu fulani katoa kafara la kutafuta kupendwa lakini wapi hapendeki!
 
Rest in peace...lakini kwann hatujifunzi kwa mv bukoba na mv spice?..maana chanzo ni kile kile cha kuzidisha mzigo...dah something is wrong with someone responsible
Pamoja na ubovu wewe ulishaona wapi eti watu walikimbilia kutoka hivyo uzito ukazidi upande mmoja ndio kikabinuka!!! Kweli??
 
Back
Top Bottom