Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

KWA UFUNDI WA KUOGELEA, HAMNA HATA MKARA MMOJA ATAKUFA KWA AJALI HIYO..I AM TELLING
 
Juhudi za haraka zifanyike ili kuwanusuru watanzania wenzetu
 
Juhudi za haraka zifanyike ili kuwanusuru watanzania wenzetu
 
nimeongea na watu wa ukara kisiwani, hali ni mbaya sana meli imezama na kupotea yooote
 
Mnalalamika serikali kutumia pesa kwenye chaguzi za marudio wakati mnaopiga folleni kwenda kupiga kura ni nyinyi nyinyi.
Utakuta li mtu limetoka kutaka kufia campaigns za mwafulani halafu leo anakuja kusema serikali inatumia vibaya hela kwenye chaguzi ambazo hazina maana.

Anyway, Poleni sana wana Ukerewe.
 
Pole kwao
 
kama hakukuwa na dhoruba basi ni yale mambo ya kujaza watu na walivyo beba kupita kiasi.
poleni sana
Unapohimiza watu wazaliane tu bila ya mikakati ya kukidhi hao watu wanaoongezeka ndio tunafika hapa, watu wengi wanajazwa kupita kiasi ktk chombo.

Pole sana kwa wahusika wote.
 
Kama walijaza kupita kiasi hiyo ni tamaa ya hela hata kama demand ni kubwa lakini tamaa ni mbaya sana

Mungu awanusuru kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…