Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,547
tena macho, wanapenda sana macho...ivi samaki wanakula miili ya binadamuueeee.....nawaza vitoweoo SANGARA n SATO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tena macho, wanapenda sana macho...ivi samaki wanakula miili ya binadamuueeee.....nawaza vitoweoo SANGARA n SATO
Nani aliyekudanganya kuwa kura ndio zinaamua viongozi??Mnalalamika serikali kutumia pesa kwenye chaguzi za marudio wakati mnaopiga folleni kwenda kupiga kura ni nyinyi nyinyi.
Utakuta li mtu limetoka kutaka kufia campaigns za mwafulani halafu leo anakuja kusema serikali inatumia vibaya hela kwenye chaguzi ambazo hazina maana.
Anyway, Poleni sana wana Ukerewe.
Hee.., mbona unatutisha wa huku Kigamboni? ,ndio maana nasema pajengwe daraja pale, hamsikii..
zooming mkuu sio jirani hapoInazama alafu jirani kabisa na nchi kavu
Inahusiana nini na siasa ,ata mkeo/mmeo akikunyima unyumba unaweza sema ni CCM imesabbishaEndeleeni kuuza na kununua wabunge ,watu wanazama maji.
KIVUKO CHA MV. NYERERE CHAFUNGWA INJINI MPYA
Na Theresia Mwami - TEMESA
Kivuko cha MV. NYERERE kinachotoa huduma kati ya Bugorola na Ukara katika Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza, kinafungwa injini mpya tangu kununuliwa kwake na kuanza kutoa huduma mwaka 2004.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Bugorola, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Dkt. Mussa Mgwatu alisema kivuko cha MV. Nyerere kinafungwa injini mbili mpya zenye thamani ya shilingi milioni 191 ili kuongeza ufanisi wa kivuko katika kutoa huduma kwa wananchi wa Bugorola na Ukara. Dkt. Mgwatu amewaagiza mafundi wanaofunga injini hizo wafanye kazi usiku na mchana ili waweze kukamilisha ufungaji wa injini mapema iwezekanavyo ili kivuko kiendelee kutoa huduma ya usafrishaji wa abiria na mali zao.
Aidha, Dkt. Mgwatu amesema Serikali imedhamiria kuimarisha usafiri wa vivuko katika Ziwa Viktoria kwa kujenga vivuko vipya vitakavyotoa huduma katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya Kigongo, Busisi, Kayenze, Bezi, Chato, Bwina, Bukondo, Senga, Muharamba, Kikumbaitale, Izumacheli na Nkome pamoja na kuvifanyia ukarabati vivuko vya MV. Nyerere, MV. Misungwi, MV. Sengerema na MV. Sabasaba.
Nae meneja wa vivuko TEMESA Mhandisi Hassan Karonda amebainisha kuwa mifumo ya injini ya kivuko cha MV. NYERERE imechoka sana kwa sasa kwa kuwa ni ya muda mrefu. Alisema, injini mbili mpya pamoja na giaboksi zinazofungwa katika kivuko cha MV. Nyerere ni za aina ya Perkins zenye nguvu ya kilowatt 161 kila moja na zinafungwa na mafundi wa TEMESA kwa kushirikiana na wale wa kampuni ya Delta Industrial Equipment Limited. Aliongeza kuwa kazi ya kufunga injini itaenda sambamba na kazi ya kukipaka rangi kivuko hicho na baada ya hapo kivuko kitaendelea kutoa huduma kama hapo awali lakini kwa kasi zaidi.
Kivuko cha MV. Nyerere kina uwezo wa kubeba tani 25 sawa na abiria 100 na magari 3 kwa wakati mmoja. TEMESA inasimamia uendeshaji wa vivuko 30 vya serikali vilivyoko kwenye jumla ya vituo 19 Tanzania bara.
Acha utani kwenye mambo serious kama haya! Kwa taarifa yako waliopoteza maisha ni wengi kuliko walioponaKWA UFUNDI WA KUOGELEA, HAMNA HATA MKARA MMOJA ATAKUFA KWA AJALI HIYO..I AM TELLING