Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

[emoji26]
IMG-20180920-WA0001.jpg
 
Ukerewe wanahitaji meli kubwa bajeti ya kurudia uchaguzi ielekezwe huko katika miundombinu
Nasimama upande wako Bongolala, mamilioni yanatumika kununua wabunge na madiwani wa upinzani na kulazimika kurudia chaguzi kwa gharama kubwa, Pole kwa wote waliohusika katika kadhia hiyo, Mungu awalinde ambao bado wako hai.
 
Ukerewe wanahitaji meli kubwa bajeti ya kurudia uchaguzi ielekezwe huko katika miundombinu
Nishawahi kupanda "Meli" za kati ya Mwanza na Ukerewe, ni hatari tupu.
Inabidi kuchukua hatua na sio kusubiri mpaka maafa yatokee
 
Duuh nimeshapanda sana hiko kivuko aisee miaka ya 2010 kwenda Ukara,
Mungu awaokoe wote
 
Mungu awanusuru wenzetu jamani, sijui ni kipi kinaendelea huko, jamani hata helkopita za uokoaji kama zipo serikali wafanye haraka wakasaidie wenzetu, inauma ni hakuna mfn, kifo cha kukuua taratibu kinaua vibaya sana. Jamani nimeumia mno.
 
Nishawahi kupanda "Meli" za kati ya Mwanza na Ukerewe, ni hatari tupu.
Inabidi kuchukua hatua na sio kusubiri mpaka maafa yatokee
Nami nilipanda ile inayoanzia mwanza mpaka Nansio, ni shida sana kwani haina utulivu majini.
 
Tanzanians have been made to believe that Mr Untouchable is truelly fighting corruption, not true. What is true is that he has narrowed the number of people involved in corruption. Although we see the results of his efforts, dont be supprised to learn that few of his clique are enjoying our cake.
 
Pesa zinatumika maeneo hivyo Kama uchaguzi wa marudio lkn hatujali maisha ya watu
 
Nasimama upande wako Bongolala, mamilioni yanatumika kununua wabunge na madiwani wa upinzani na kulazimika kurudia chaguzi kwa gharama kubwa, Pole kwa wote waliohusika katika kadhia hiyo, Mungu awalinde ambao bado wako hai.
wapinzani wakipiga kelele wanaambiwa sio wazalendo, ni kweli mkuu, na mie niko upande wa bongolala
 
Ukerewe wanahitaji meli kubwa bajeti ya kurudia uchaguzi ielekezwe huko katika miundombinu
Mkuu naona ilani ya CCM itakuwa inasema kufanya uchaguzi za marudio mara nyingi iwezekanavyo baada ya kuwanunua wapinzani..
So wapo busy kuitekeleza.
Kununua kivuko au meli ya uhakika sio priority kwao.
 
Waliopo eneo la tukio wanasema sio zaid ya 100m
wanasema kwanza watu walikuwa wanatoka gulioni kununua mahitaji pale bugorola, na leo ni siku ya mnada, hivyo wanafunzi ambao shule zimefunguliwa kutoka midterm wengi walikuwa hapo kupata mahitaji yao, na vile vile kile kisiwa sasa unapelekwa umeme, hivyo kulikuwa na mabando ya nyama za umeme ambayo huwa ni mazito sana, na gari zikawa zimepakiwa na watu lukuki, nahisi wengine watakufa kwa sababu ya kukandamizwa na hizo nyaya na yale magari,
 
Nishawahi kupanda "Meli" za kati ya Mwanza na Ukerewe, ni hatari tupu.
Inabidi kuchukua hatua na sio kusubiri mpaka maafa yatokee
hatari yake ni ipi mkuu, wakati nyehunge ndio mkombozi wetu
 
Mungu awanusuru wenzetu jamani, sijui ni kipi kinaendelea huko, jamani hata helkopita za uokoaji kama zipo serikali wafanye haraka wakasaidie wenzetu, inauma ni hakuna mfn, kifo cha kukuua taratibu kinaua vibaya sana. Jamani nimeumia mno.
Mkuu inauma sana! Wanajeshi tayri wamefika eneo la tukio lakini sasa hivi wanatoa watu waliofariki, inasemekana watu wanaokisiwa kufikia 30 ndo waliokolewa wakiwa wazima.
 
Back
Top Bottom