Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ukitazama picha zinazozunguka zinaonyesha kivuko kime "beach" au kupiga mwamba.
Ilikuwa inelekea kiko katika shallow waters.
Ilikuwa inelekea kiko katika shallow waters.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani aliyekudanganya kuwa kura ndio zinaamua viongozi??
sheria mpya hairuhusu raia kutoa takwimu yoyote mpaka kibari cha serikal. yaan hata ukiulizwa una watoto wangap hutakiwi kutaja mpaka kibar. sheria kandamizi sana.Jamani idadi kamili ya walio nusurika na waliopoteza maisha bado haijajulikana? Inauma sana Mungu usimame katikati.
Aisee.
Tuendelee kuwaombea na kuwafariji wahanga wa hii ajali
Hivi punde kuwa mkweli, Sita tu! acha mabo ya ajabu. Haiwezekani kivuko kikawa upside down ukasema only 6 are dead! Au ni maagizo ya Jiwe kuwa isemwe idadi ndogoWatu sita wamefariki dunia na wengine 20 kuokolewa baada ya kivuko cha Mv Nyerere wilayani Ukerewe kuzama leo mchana katika ziwa Victoria.
Akizungumza na MCL Digital leo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, George Nyamaha alisema timu ya uokoaji bado inaendelea na kazi ya uokozi na kuna uwezekano idadi ya waliofariki dunia ikaongezeka.
“Kuna maelezo kuwa katika kivuko hicho kulikuwa na abiria zaidi ya 100 baada ya kupinduka idadi kubwa ya watu wanahofiwa kufariki dunia,” alisema Nyamaha.
Kivuko hicho cha Mv Nyerere kina uwezo wa kubeba abiria 100, tani 25 za mizigo na magari madogo matatu.
Mwezi Julai kivuko hicho kilifungwa injini mpya baada ya awali kupata hitilafu na kimekuwa kikitoa huduma kwa watu wa Ukerewe tangu 2004.View attachment 872437
Soma taarifa kwa utulivu.Hivi punde kuwa mkweli, Sita tu! acha mabo ya ajabu. Haiwezekani kivuko kikawa upside down ukasema only 6 are dead! Au ni maagizo ya Jiwe kuwa isemwe idadi ndogo
angalia hii upside down walikufa over 1000..mv bukoba
View attachment 872448
Kufa wewe basi heee jamani, jitu ovyo kabisa walahi!Hivi punde kuwa mkweli, Sita tu! acha mabo ya ajabu. Haiwezekani kivuko kikawa upside down ukasema only 6 are dead! Au ni maagizo ya Jiwe kuwa isemwe idadi ndogo
angalia hii upside down walikufa over 1000..mv bukoba
View attachment 872448
Ziko Dar tena zote mbovu,huijui nchi yetu wewe,na mapilot wake wako likizoMungu awanusuru wenzetu jamani, sijui ni kipi kinaendelea huko, jamani hata helkopita za uokoaji kama zipo serikali wafanye haraka wakasaidie wenzetu, inauma ni hakuna mfn, kifo cha kukuua taratibu kinaua vibaya sana. Jamani nimeumia mno.
Lijamaa limecharuka kama jambazi la kuuwa watu walahi!Soma taarifa kwa utulivu.
George Nyamaha alisema timu ya uokoaji bado inaendelea na kazi ya uokozi na kuna uwezekano idadi ya waliofariki dunia ikaongezeka.
Msg ya Hivi Punde ilikuwa conclusive! Watu sita wafariki... this is a conclusive msg! angelisema labda mpaka sasa maiti sita zimeopolewa..... hii inaashiria kuwa there might be more or ....Soma taarifa kwa utulivu.
George Nyamaha alisema timu ya uokoaji bado inaendelea na kazi ya uokozi na kuna uwezekano idadi ya waliofariki dunia ikaongezeka.
hovyo mama yakoKufa wewe basi heee jamani, jitu ovyo kabisa walahi!
Unalazimisha idadi ya vifo vya watu, pathetic DNA walahi
Engine haina uhusiano wowote na kuzama au kupinduka kwa meliHebu ngoja kwanza si juzi tu hapa wamefunga engine mpya za Perkin's.....?