Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukitazama picha zinazozunguka zinaonyesha kivuko kime "beach" au kupiga mwamba.
Ilikuwa inelekea kiko katika shallow waters.
 
Jamani idadi kamili ya walio nusurika na waliopoteza maisha bado haijajulikana? Inauma sana Mungu usimame katikati.
 
HILI SUALA LA OVERLOADING HADI LINI??kuanzia Mv Bukoba na Spice zote sababu ni hiyo hiyo.Umefika wakati wahusika kuwajibishwa kwa adhabu kali zaidi kama kunyongwa hadharani au kifungo cha maisha.

TUMECHOKA KUPOTEZA NDUGU ZETU WASIO KUWA NA HATIA KWA SABABU YA UZEMBE WA WACHACHE
 
!
!
Niliona Picha Kikiwa Juu Chini Chini Juu, Nikamuwaza Yule Mpumbavu Aliitoboaga MV Bukoba Ikazama Mazima. Wamzuie Akijitokeza Tena.
 
Jamani idadi kamili ya walio nusurika na waliopoteza maisha bado haijajulikana? Inauma sana Mungu usimame katikati.
sheria mpya hairuhusu raia kutoa takwimu yoyote mpaka kibari cha serikal. yaan hata ukiulizwa una watoto wangap hutakiwi kutaja mpaka kibar. sheria kandamizi sana.
 
Huyu aliyekitengeneza kivuko hiki naye. Kimekaa ka mtumbwi upana wake hauridhishi aisee kupinduka nkulikuwa kwa kufikia tu.
 
Watu sita wamefariki dunia na wengine 20 kuokolewa baada ya kivuko cha Mv Nyerere wilayani Ukerewe kuzama leo mchana katika ziwa Victoria.

Akizungumza na MCL Digital leo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, George Nyamaha alisema timu ya uokoaji bado inaendelea na kazi ya uokozi na kuna uwezekano idadi ya waliofariki dunia ikaongezeka.

“Kuna maelezo kuwa katika kivuko hicho kulikuwa na abiria zaidi ya 100 baada ya kupinduka idadi kubwa ya watu wanahofiwa kufariki dunia,” alisema Nyamaha.
Kivuko hicho cha Mv Nyerere kina uwezo wa kubeba abiria 100, tani 25 za mizigo na magari madogo matatu.

Mwezi Julai kivuko hicho kilifungwa injini mpya baada ya awali kupata hitilafu na kimekuwa kikitoa huduma kwa watu wa Ukerewe tangu 2004

.
KIVUKO%2BPIC.jpg
 
INasikitisha sana kusikia taarifa kama hii. Kama sababu itakuwa ni matokeo ya ukiukwaji wa taratibu na hasa kujaza abiria kuliko kiwango, nitathibitisha kwamba waafrika hatujifunzi na tunastahili kuswagwa. Bila rais anayeswaga, hatufiki kokote!
 
Haya matukio yanawakilisha chuki kubwa tuliyonayo inayosababishwa na siasa.mwisho wetu sio mzuri.
 
Mlitakiwa kuomba kisizame sasa kwa mziki wa ziwani na muda uliopita manake unayemuomba tayari keshamaliza kazi yake na elekezeni maombi kwa serikali yenu sasa itazame watu zaidi kuliko vitu kama wamekarabati July leo Sept manake hao mafundi ndio wanahitaji zaidi maombi kuliko wahanga.

Maombi mengine muombeni Jiwe kile alichowapa wajeda kmboni kiende huko kikasaidie wanaohitaji hao aliowapa hawana kazi nacho.

Aisee.
Tuendelee kuwaombea na kuwafariji wahanga wa hii ajali
 
Watu sita wamefariki dunia na wengine 20 kuokolewa baada ya kivuko cha Mv Nyerere wilayani Ukerewe kuzama leo mchana katika ziwa Victoria.

Akizungumza na MCL Digital leo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, George Nyamaha alisema timu ya uokoaji bado inaendelea na kazi ya uokozi na kuna uwezekano idadi ya waliofariki dunia ikaongezeka.

“Kuna maelezo kuwa katika kivuko hicho kulikuwa na abiria zaidi ya 100 baada ya kupinduka idadi kubwa ya watu wanahofiwa kufariki dunia,” alisema Nyamaha.
Kivuko hicho cha Mv Nyerere kina uwezo wa kubeba abiria 100, tani 25 za mizigo na magari madogo matatu.

Mwezi Julai kivuko hicho kilifungwa injini mpya baada ya awali kupata hitilafu na kimekuwa kikitoa huduma kwa watu wa Ukerewe tangu 2004.View attachment 872437
Hivi punde kuwa mkweli, Sita tu! acha mabo ya ajabu. Haiwezekani kivuko kikawa upside down ukasema only 6 are dead! Au ni maagizo ya Jiwe kuwa isemwe idadi ndogo
angalia hii upside down walikufa over 1000..mv bukoba
1537455390005.png
 
View attachment 872448
Soma taarifa kwa utulivu.
George Nyamaha alisema timu ya uokoaji bado inaendelea na kazi ya uokozi na kuna uwezekano idadi ya waliofariki dunia ikaongezeka.
 
Kufa wewe basi heee jamani, jitu ovyo kabisa walahi!
Unalazimisha idadi ya vifo vya watu, pathetic DNA walahi
 
Mungu awanusuru wenzetu jamani, sijui ni kipi kinaendelea huko, jamani hata helkopita za uokoaji kama zipo serikali wafanye haraka wakasaidie wenzetu, inauma ni hakuna mfn, kifo cha kukuua taratibu kinaua vibaya sana. Jamani nimeumia mno.
Ziko Dar tena zote mbovu,huijui nchi yetu wewe,na mapilot wake wako likizo
 
Soma taarifa kwa utulivu.
George Nyamaha alisema timu ya uokoaji bado inaendelea na kazi ya uokozi na kuna uwezekano idadi ya waliofariki dunia ikaongezeka.
Lijamaa limecharuka kama jambazi la kuuwa watu walahi!
 
Soma taarifa kwa utulivu.
George Nyamaha alisema timu ya uokoaji bado inaendelea na kazi ya uokozi na kuna uwezekano idadi ya waliofariki dunia ikaongezeka.
Msg ya Hivi Punde ilikuwa conclusive! Watu sita wafariki... this is a conclusive msg! angelisema labda mpaka sasa maiti sita zimeopolewa..... hii inaashiria kuwa there might be more or ....
 
Back
Top Bottom