mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Serikali haina hela.muivumilie tu.Mm naishi huku visiwani, wakuu hivi vivuko vinajaza sana watu kupita maelezo. Kwa mtazamo wangu vivuko vinazidiwa na hitaji la watu kusafiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali haina hela.muivumilie tu.Mm naishi huku visiwani, wakuu hivi vivuko vinajaza sana watu kupita maelezo. Kwa mtazamo wangu vivuko vinazidiwa na hitaji la watu kusafiri
Viongoz wetu HAWAJUI KITU GANI HASA WANANCHI WANAHITAJI katika Muda mwafaka.Badala ya wangenunua kipya wamenunua injini mpyaa hivi kuna haja gani ya kujenga reli ya umeme wakati kivuko kipya chatushinda...!!
Twafanya chaguzi daily pesa za kivuko hatunaa!!
hahaaKufa wewe basi heee jamani, jitu ovyo kabisa walahi!
Unalazimisha idadi ya vifo vya watu, pathetic DNA walahi
viongozi wa nchi hii" ni akili mgando". ..inastaajabisha sana na kuumiza wallahi" ndugu zetu wanaishi kwenye mazingira yenye miundo mbinu", haba" .. serikali ya ccm " ndio kwanza ipo busy kwakununua" upinzani", mwisho hupelekea chaguzi kurudiwa" huu ni ufujaji wa kodi za wananchi" wakati bado wanauhitaji mkubwa", wa miundombinu bora". ..Yaliyo tokea leo" iwe fundisho" kwa hili zimwi la hili taifa (ccm)..Badala ya wangenunua kipya wamenunua injini mpyaa hivi kuna haja gani ya kujenga reli ya umeme wakati kivuko kipya chatushinda...!!
Twafanya chaguzi daily pesa za kivuko hatunaa!!
Pole kwa wana Ukerewe na Mwanza kwa ujumla....Nje ya mada hivi hiki sio kile kivuko ambacho kimezinduliwa juzi juzi na kurushwa live na TBC?Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKALA wilayani Ukerewe.
====
Taarifa Kwa Umma Kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme-TEMESA Kuhusu Kuzama Kwa Kivuko Cha MV.Nyerere
View attachment 872340
Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo ndani ya kivuko hazijajulikana.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Jonathan Shana amesema kivuko hicho kimezama wakati kikielekea katika Kisiwa cha Ukara. Kiliondoka saa 6 mchana na ilipofika saa nane kamili mchana kilipinduka.
Amesema bado hawajapata idadi kamili ya waliokuwemo kwenye kivuko hicho.
Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Temesa), Hassan Karonda amekiri kuzama kwa kivuko hicho na yuko njiani kulekea huko na watatoa taarifa baadaye.
Kivuko cha MV. NYERERE kilinunuliwa na kuanza kutoa huduma mwaka 2004. Kilifungwa injini mbili mpya zenye thamani ya shilingi milioni 191 JULY 2018. Kivuko cha MV. Nyerere kina uwezo wa kubeba tani 25 sawa na abiria 100 na magari 3 kwa wakati mmoja.
View attachment 872299
Wanajeshi na raia wakitoa msaada wa uokoaji
Utasikia Serikali haikuleta hii ajali.
Poleni sana mliofikwa na hilo janga!
Wazamiaji ukute nao wanasubiri amri kutoka juuWanahitajika wazamiaji siyo helikopta.Tukio jirani na ufukwe wa ziwa.
Unaweza rukia baharin kwa uoga ... Hahaha dah aiseeHuwezi hamini hii habari nimeipata nikiwa ndani ya Mv kazi Kigamboni...nimeogopa aise
e