Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu zinaweza kuwa:Hivi kweli mkuu wa mkoa anasitisha zoezi la uokoaji kisa giza!? Mkoa mzima hakuna uwezo wa kuweka taa ili kuruhusu uokoaji very sad! Hata kutengeneza umeme wa muda ili kumudu mazingira ya wakati huo tumeshindwa!?
Hivi usiku umekuja ghafla sana mpaka kusitisha zoezi?
Kwa hali hii kama kuna siku ajali itatokea saa 19:00 jion na hujui kuongelea basi nimekufa, yaan jua liwake!!!?
Watazania tubadilike kila mmoja kwa nafasi yake.
Labda ingekua kimezamia kwao ndo angeona hali hiyo hawezi kulalaAndiko hili linazidi kunitonesha sana, Nchini Kenya vyombo vya habari vimeripoti habari hizi haraka sana na kusitisha baadhi ya ratiba zao Mfano MILELE FM ya Kenya, TBC wako bize na kipindi cha miziki cha ZINAZO KIKI, inauma sana RC anaongezea kwa kusitisha zoezi kuwa GIZA limeingia. MTU aliyelelewa kwenye utamaduni wa KITANZANIA unapata wapi ujasiri wa kuingia kitandani ukalala wakati Wanadamu wenzako wawe maiti au hai unajua wako majini? Zaidi we ni kiongizi kwenye dhamana ndani ya mkoa. Kama Mh Rais aliwahi kukiri kuwa huwa anafanaya kazi hadi usiku kucha sasa wewe RC ujasiri huo wa kusitisha kuopoa maiti au watu hai ukaenda kumkumbatia mkeo unatoka wapi.
Hivi RC, Msimamizi wa bandari Mwanza, RPC, DC, Kiongozi wa Zimamoto leo walipata usingizi kweli? huku roho za Watanzania zikiteketea ziwani? I cant imagine uongozi wa dizaini hii, na utasikia hakuna atakayewajibika.
Tuna helkopta zinaruka juu kulinda wateule,nchi jirani zina vifaa kedekede mf. Kenya. In a matter of hour or two, watakuwa wamefika site!! Kipindi cha Mkapa na MV Bukoba, kuna kikosi kilitoka Zenj na SA walifanya kazi day& night. Nashauri, pamoja na juhudi zote, tusitangulize visingizio vya giza!! Tuongeze juhudi na tuimarishe mahusiano mema na majirani zetu ili tunakotindikiwa tupate msaada. Mungu weka mkono wako katika hili.
mkeo akiwa leba tu hulali sembuse ndugu yako kulaliwa na meli kwenye maji? tuna shida na huu uongozi wa sasa. mtaelewa tu maana muda huwa hauna ghilba.
Hivi vivuko huwa vinajaza mpaka inasikitisha!Mkuu ninajitahidi sana kuepusha malumbano na wewe , kwa hili naomba kwanza usome habari nii [Habari ipo mwanzoni kabisa mwa bandiko, sijaitafuta mahali na wala sijasema imetoka mamlaka yoyote.
Nilichofanya ni kuangalia uhalisia wa mtoa taarifa hiyo
Nikasema hivi, kituko kina uwezo wa tani 25 kwa mujibu wa mtoa mada hapo juu
Kina uwezo wa kuchukua watu 100 na magari 3, kwa mujibu wa mtoa taarifa hapo juu
Kisha nikafanya tathmini yangu kwa kutumia namba hizo.
Nikasema hivi, tukifanya assumptions ya wastani wa uzito wa abiria ni kilo 70, kwa abiria 100 ni sawa na kilo 7,000 au tani 7
Kisha nikauliza, magari 3 yenye uzito gani? Kwa maana kuwa uzito wa saloon, Van, truck n.k. vinatofautiana.
Kisha nikasema tufanye assumption ya tani 4 kwa magari 3 ni sawa na tani 12
Ukijumlisha ni sawa na 7+12 ambazo ni tani 19, chini ya tani 25
Kwahiyo kwa namba alizoweka mleta mada suala la uzito kuwa mkubwa, kwa mujibu wa mleta taarifa haliwezekani. Hapo ndipo asili ya neno haiwezekani
Unatakiwa usome bila prejudice na uelewe nini kinazungumziwa.
Nasema prejudice kwa sababu hii uliyoandika hapa Wapi kuna siasa katika hayo niliyoeleza hapo juu? Kama tathmini yangu kwa mleta mada si sahihi mambo unayosema yanaingiaje?
Unaposema ninahujumu usijui una maana gani kwasababu hakuna mahali nimesema lolote kuhusu serikali au mamlaka yoyote na namba hizo zilizowekwa na mleta mada
Nilichofanya ni kumjibu mleta mada
Nia na dhamira yako si nzuri hasa unaposema kuna lengo la kuchonganisha serikali na wananchi au malengo maalumu. Kwakweli umenisikiisha sana kwa haya
Unajaribu kueleza kitu ambacho hakipo lakini kwa prejudice yako juu yangu unachomeka ieleweke hivyo, ulichofanya ni kuchukua maneno yangu out of contents and context just to suit you ill intention against me. Na sijui chuki hii inaletwa na nini hasa
Kwa mtu asiyefuatilia au kusoma kwa details kauli zako ni za hatari sana
Mkuu unatambua kwa muda mrefu nimejiepusha na mijadala na wewe, kwa hili naomba radhi kukujibu nimelazimika kutokana na kauli zako zenye nia mbaya sana
Kama una reservations nyingine it's ok usitumie hili ku infiltrate hoja zako ili ionekane ni mtu mbaya sana. Nadhani utafurahi sana nikapatwa na majanga yoyote yale
Hivi vivuko huwa vinajaza mpaka inasikitisha!
Usifikiri hao watu wako kama wewe na kuchukua tahadhari! NO WAY!
Mara nyingine unaona kabisa watu wanafanya mambo na ni completely suicidal act!
Kama wanavyo panda mshikaki kwenye bodaboda au pickup kwa Nyuma!
Mambo mengine huwa yanabadilika kwa wakati wake, lakini kuinyoshea kidole Serikali ni kutafuta LAANA KUTOKA KWA MAMA TANZANIA walahi!
Be realistic kijana mdogo ehhh jamani!
That’s all
So kilikuwa kimekaribia sana kufika mwisho ?, lakini haya matukio yamekuwa yakijirudia rudia sana, (kumbuka MV bukoba, na kule mto kilombero) mpaka jana saa 2 usiku walikuwa hawajajua ni watu wangapi waikuwemo ndani ya kivuko, yaani wasimamizi wanashindilia watu as if ni mizigo, Tutafakari.Waliopo eneo la tukio wanasema sio zaid ya 100m
Heshima kwa wakubwa ni kitu cha bure kabisa.....sio sawa kwa hili.Ila watanzania ni wapumbavu Sana Wote mngekua Kama mm tungeshamchoa Huyo k hapo magogoni na tungemtatua Marinda Nina hasira nae sana
Ndio kilikuwa kimekaribia kabisa kufika, tayari abiria walikuwa wamejiandaa kuteremkaSo kilikuwa kimekaribia sana kufika mwisho ?, lakini haya matukio yamekuwa yakijirudia rudia sana, (kumbuka MV bukoba, na kule mto kilombero) mpaka jana saa 2 usiku walikuwa hawajajua ni watu wangapi waikuwemo ndani ya kivuko, yaani wasimamizi wanashindilia watu as if ni mizigo, Tutafakari.