Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana MV ni Motor Vessel,yaani Chombo au meli iendeshwayo na Diesel Engine,tofauti na SS yaani Steam Ship meli inayoendeshwa na steam engine au steam turbine.Marine Vessel
Kwani watu walikuwa awaoni feri imejaa kosa la marehemuKwa taarifa za jana vifo zaidi ya 200, hope waliowajaza watu kwenye feri watahukumiwa kama wauaji ili iwe fundisho kwa wengine
😳Anajaribu ku_download sura ya huzuni,inagoma
wakulaumiwa ni shetani!
Sumatra yeye ni mkaguzi na mdhibiti wa shughuli vyombo vya majini wa kutoa leseni za meli au kivuko.Lakini msimamizi wa shughuli za kila siku za uangalizi wa shughuli za meli na kadhalika si Sumatra bali State Port Control ambae ni Mamlaka ya Bandari TPA labda kama kuna mabadiriko.Hadi sasa nimekaa hapa najiuliza viongozi wa huko SUMATRA wanasubiri nini kujiuzulu au wanataka kufukuzwa ? Mambo mengine ni suala la uwajibikaji tu siyo moja kwa moja uwe na makosa au la.
Tatizo linaanzia hapo,kulikuwa na pesa chafu.Ukipakia zaidi unapata zaidi.Lakini yawezekana pia hiyo pesa chafu ilitumika kuzuia vyombo au watu husika kudhibiti upakiaji wa abiria na mizigo iliokidhiri.Just imagine capacity yake ilikuwa watu mia, ina maana kila wakati walikuwa wakiwasilisha mauzo ya 100 lkn wanabeba zaidi ya abiria 300, hii excess ilikuwa inawakilishwa kwa nani? je, mizogo excess ilikuwa inawakilishwa kwa nani? tunapofanya uchunguzi wa hili jambo turudi juma kuuliza walianza kubeba hii excess tangu muda gani na walikuwa wanaiwakilisha kwa nani? iundwe tume kuchunguza kwanza hizi pesa zilikuwa zinaenda kwa nani, na hao watu wakamatwe na wafilisiwe. Mods msiunganishe huu uzi, tuanzie hapa kwa uchunguzi ili wale samaki wakubwa wapatikane.
Labda shetani kichaaMkuu shetani ndiyo alisema tu overload kivuko??
Kunyoa ni imani ya MTU wala hakuna uhusiano Na majonziView attachment 875039
Wakati rais amenyoa nyweke zote kichwani na kunyoa/kuondoa 'O' yake kwa ajili ya kuomboleza msiba huu, eti Waziri mkuu yeye bado anaendelea kupaka Piko lile Afro lake huku wateule wengine kama wakuu wa wilaya na mikoa hakuna hata mmoja anayeiga style ya mkuu katika kuomboleza.
Wao wanachoweza kuiga ni ubabe na kamata kamata sababu vinawafanye waigopeke lakini kunyoa haqataki k8sa wataonekana vituko.
Wangeazima heavy military equipment wala wasingefika huko.....Ndo Jana wamepeleka bulldoza la kuivuta nchi Kazi ilitakiwa siku ile ile kuivuta isingelala majini kwenye mita mia tujifunze,ajali ile kwa dunia ya sasa ni uzembe tuwekeze zaidi kwenye rescue team