Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani rambirambi ni kiasi gani hasa mbona naona mapovu..ndio maana baadhi ya misiba utakuta jamaa furani haendi mbali na sahani na daftari…na huku akiwa na sura ya mbuzi…na hakawii kurusha ngumi ukitaka kumfuatilia…jamani rambirambi ni yatokanayo tu huhitaji kuitegemea saaana!
Hivi unyonge ni kitu cha kujivunia? Hivi baada ya zaidi ya miaka 50 ya uhuru bado kuna watu wanajisifu kuwa wanyonge na hata akatokea mtu na kujisifu dunia nzima imsikie kuwa yeye ni kiongozi wa wanyonge?!Haya ndio tulikuwa tunayasema na sasa yanaanza kutimia!
Kwahiyo watu wasipochanga hayo hayatafanyika?
Hivi nani ni mshauri wa hawa watu?!
Nini wajibu wa serikali katika matukio ya aina hii?
Bajeti ya kitengo cha maafa chini ya waziri mkuu inafanya kazi gani?
Ndio maana wengine tunawafurahia sana watu kama Zitto na Lissu kwa jinsi wanavyowasema wenye mamlaka.
Watanzania amkeni hasa wale wanaodhani wapinzani wana chuki tu na hii serikali.
Kweli kama ni serikakali ya wanyonge, basi watanzania Mungu katupendelea!
ndioSamahani kidogo,.hivi ccm ndio imesababisha hili janga kutokea??!
"Cosmopolitan citizen"
Sawa sawa.. Mijitu haikomi kutoa rambirambi na kuwapa wasio stahili... Mtu aliyeguswa na tukio hili wawapelekee wafiwa mkononi na sio hawa mchwaInavyojulikana ni kuwa rambirambi ni kwa ajili ya wafiwa ili kuwapunguzia machungu na kuwafuta machozi!
Haya mengine inabidi serikali iyabebe na kuyafanyia kazi!View attachment 875701
Kiaje....!?ndio
Mkuu Serikali ndio imefiwa hapa,wacha tuichangieInavyojulikana ni kuwa rambirambi ni kwa ajili ya wafiwa ili kuwapunguzia machungu na kuwafuta machozi!
Haya mengine inabidi serikali iyabebe na kuyafanyia kazi!View attachment 875701
Wee ni pumbafu sana, hivi rambi rambi ni kodi ndio mpaka serikali ielekeze matumizi yake?Serikali imeelekeza matumizi ya rambirambi wewe unabeza sasa mlitaka inunulie pombe?
Nyie mnaotumia mamilioni ya shilingi kununua bombadier kwa manufaa ya wachache wenye chapaa na kuacha majority kutumia vivuko vibovu ndio mnaotafuta tender.. Blood suckerMlitarajia kupata tender ya kutengeneza majeneza?
Mbona kwenye kichwa cha habari umeandika watu 217 na kwenye maelezo 224? Andika takwimu sahihi.Naangalia TBC hapa Habari ya mv Nyerere ime poteza watu 224 inasikitsha Sana
Ccm achieni nchi kuweni wazawa.
ukiwaza na kufikir kwa kutumia ubongo utafaham ni kiaje ccm ndio chanzoKiaje....!?
Wanajenga minara ya kumbukumbuteh teh teh changeni fweza za kujenga mnara.
kufa ni kufa ila bora hata wale waliofia macca mwaka juzi kwa kukanyagana kila familia ikala kama milioni 300!!si afadhari angalau waliobakia wanajifutia machozi na wakizichanga fresh umasikini ndio basi tena !!kuliko kufia kwa watu ambao pesa za kuwafariji ndio tena zitumike kwa vitu ambavyo ni wajibu wao!!!daaaa indekuwa mtu unachagua pa kufia bora ukafie macca tu!!!Naomba niulize swali, rambi rambi kwa upeo wako unajua ni nini? Je kazi yake ni ipi?
Aiseee,.ukiwaza na kufikir kwa kutumia ubongo utafaham ni kiaje ccm ndio chanzo
Walioaga dunia ni 224 lakini waliohaga dunia ni 217Mbona kwenye kichwa cha habari umeandika watu 217 na kwenye maelezo 224? Andika takwimu sahihi.
Wazazi wako watakuwa wanajilaumu sana kukuzaa...!Nenda kaongoze wewe mjanja, mbaafu