Uchaguzi 2020 Ukara: Wananchi wamuua mtu aliyetaka kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisya kwa tiketi ya CHADEMA

Uchaguzi 2020 Ukara: Wananchi wamuua mtu aliyetaka kumteka mgombea udiwani wa kata ya Bwisya kwa tiketi ya CHADEMA

Hofu ya nini kama tumenunua ndege, flyover, madaraja na nchi ni uchumi wa kati?
Kweli kabisa!

Bila shaka ni mambo yao ya ndani ya chama. wkamatwe wote wakajieleze.

CCM hawawezi kuwa na hofu yeyote wakati umeme mpaka vijijini, mahospitali, meli nk.
 
CCM watawafikisha watu wanapotaka wafike, halafu maana CCM yalivyo majinga yanashindwa kujua kikinuka yenyewe ambayo yako mitaani huku ndio watashughulikiwa na wala sio mapolisi ambao wanaweza kujitetea
 
Sawa mkuu, lakini nikuachie swali wakati kule kibiti wanaccm walivyokuwa wakiuawa kila kukicha vipi ni CHADEMA wale ndio walikuwa wakifanya yale mauaji? Ulisikia tuhuma zozote kutupiwa CHADEMA kuwa ndio wahusika? Na ingekuwaje Kama wale waliokuwa wanauawa wangekuwa Wana CHADEMA hali ingekuwaje tuhuma angetupiwa nani?
Asante sana umenipa kumbukumbu nzuri sana.
 
Kweli kabisa!
Bila shaka ni mambo yao ya ndani ya chama. wkamatwe wote wakajieleze.
CCM hawawezi kuwa na hofu yeyote wakati umeme mpaka vijijini, mahospitali, meli nk.
Kuna sera bilioni kuonesha kushindwa kwa CCM, hata mngemjengea kila mtu nyumba ila kuburuzwa kama unafugwa sio hulka ya binadamu, hukumbuki Nyerere alisema bora mbwa maskini aliye huru kuliko aliyenenepeana na kupewa kila kitu ila kafugwa kwa kufungiwa ndani?

By the way umeme umefika vijijini lakini sasa wanakijiji waliounganisha unakuta hawazidi hata 20 kijiji kizima na hapo ni 27,000, unajua kwa nini? CCM mnafeli sana maana vipaombele vyenu sio vya wananchi
 
Alhamdulillah, ni jambo jema ujumbe utawafikia walobaki.
 
Na bado waendelee tu na huu uharamia wao waone moto zaidi.

Enough is enough.
 
Popote inapomwagika damu jua dhuruma ilianza kwa baadhi kujiona Wana haki kuliko wengine.

Sisi ni binadamu kama wa Somalia, Mali,Congo ama Sudani.

Hivyo yanayotoke huko hata hapa yanaweza kutokea.

Mheshimiwa Raisi Magufuli huu ndio ulikuwa muda wa kuwaunganisha Watanzania kwa vitendo.

Sababu Jicho linalotuangalia huko nje sio la kheri, Wanasubiri tusambaratike wapite katikati.

Mungu iepushe Tanzania na hili pepo linalotunyemelea.
KAKA umeongea vizuri sana shida ni huyo unayempa ushauri amedhamiria kufanya hayo bila kujua raia wakichoka hata yeye hatokuwa salama tuiombeee nchi yetu
 
Hii roho mbaya ya kutekana inaonekana kushamiri. Kama waliweza kumthibiti wasingemua ili tujue ni akina nani waliowatuma.....
Kwani Mkuu wewe huwajui waliowatuma?? Wamewahakikishia kinga ya kutofanywa lolote hivyo njia pekee iliyobaki ni kujichukulia sheria mkononi. Nao wapate maumivu kama wanavyowaumiza wengine.
 
Haya ndiyo viongozi wetu wa dini wanayotamani kuyasikia na kuyaona!
 
Kesi ya mauwaji hiyo, huyo Zakaria na wenzake wanakesi ya kujibu ili iwefundisho kwa wengine.
 
Safi sana.


Tukienda kwa Lugha hii hii ya matendo, hata nawao wataanza kua na hofu.
Kumbee ndio mindo wao wa 2020 hivi!

Kule zenji kuna dogo mmoja anasimulia kuwa Baba yake hajulikanialipo leo ya tatu, katekwa na wasiojulikana, kisa kumbe anagombea udiwanikwa ticket ya Upinzani, nadhaniACT doh, nilikuwa sijaujuwa mtindo wao mwaka huu
 
Ungekuwa wewe ndugu Sijijui ndio ccm ungekuja na mbinu ya kupumbavu namna hiyo ya kufanya mauaji hovyo mchana kweupe na kuteka teka watu kwenye kipindi Kama hiki ambacho kila mtu jicho lipo kwako kuona utamshawishi vipi akuchague kwa mara nyingine halafu wewe unakuja na mbinu za mauaji huku wakikushuhudia?
Mkuu ccm haina chochote inachojari zaidi ya madaraka yake.hapa tinajadidiri mtekaji akiyeuawa Sasa subiria kamata kamata itakayofuata then ulinganishe na kamatakamata inayotokea Chadema ikishambuliwa ndo utajua nani yupo nyuma ya huu upumbavu
 
Back
Top Bottom