Kweli kabisa!Hofu ya nini kama tumenunua ndege, flyover, madaraja na nchi ni uchumi wa kati?
Bila shaka ni mambo yao ya ndani ya chama. wkamatwe wote wakajieleze.
CCM hawawezi kuwa na hofu yeyote wakati umeme mpaka vijijini, mahospitali, meli nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa!Hofu ya nini kama tumenunua ndege, flyover, madaraja na nchi ni uchumi wa kati?
Asante sana umenipa kumbukumbu nzuri sana.Sawa mkuu, lakini nikuachie swali wakati kule kibiti wanaccm walivyokuwa wakiuawa kila kukicha vipi ni CHADEMA wale ndio walikuwa wakifanya yale mauaji? Ulisikia tuhuma zozote kutupiwa CHADEMA kuwa ndio wahusika? Na ingekuwaje Kama wale waliokuwa wanauawa wangekuwa Wana CHADEMA hali ingekuwaje tuhuma angetupiwa nani?
Ukerewe hiyo, kisiwa ndani ya kisiwa cha Ukerewe. Kule ilikozama meli ya Mv. NyerereDah! Ukara ni wapi huko ambako hawataki masiala? Natamani wote wapate kilo ya sukari kwa gharama zao, wanywe wajipongeze!
Kuna sera bilioni kuonesha kushindwa kwa CCM, hata mngemjengea kila mtu nyumba ila kuburuzwa kama unafugwa sio hulka ya binadamu, hukumbuki Nyerere alisema bora mbwa maskini aliye huru kuliko aliyenenepeana na kupewa kila kitu ila kafugwa kwa kufungiwa ndani?Kweli kabisa!
Bila shaka ni mambo yao ya ndani ya chama. wkamatwe wote wakajieleze.
CCM hawawezi kuwa na hofu yeyote wakati umeme mpaka vijijini, mahospitali, meli nk.
Hio ndio nzuriHii roho mbaya ya kutekana inaonekana kushamiri. Kama waliweza kumthibiti wasingemua ili tujue ni akina nani waliowatuma.....
Kuna shetani limetufikisha hapa.Natamani tusingekubali kupoteza hata tone moja la damu ya Mtanzania kwa kisingizio cha ushindi wa kishindo
KAKA umeongea vizuri sana shida ni huyo unayempa ushauri amedhamiria kufanya hayo bila kujua raia wakichoka hata yeye hatokuwa salama tuiombeee nchi yetuPopote inapomwagika damu jua dhuruma ilianza kwa baadhi kujiona Wana haki kuliko wengine.
Sisi ni binadamu kama wa Somalia, Mali,Congo ama Sudani.
Hivyo yanayotoke huko hata hapa yanaweza kutokea.
Mheshimiwa Raisi Magufuli huu ndio ulikuwa muda wa kuwaunganisha Watanzania kwa vitendo.
Sababu Jicho linalotuangalia huko nje sio la kheri, Wanasubiri tusambaratike wapite katikati.
Mungu iepushe Tanzania na hili pepo linalotunyemelea.
Kwani Mkuu wewe huwajui waliowatuma?? Wamewahakikishia kinga ya kutofanywa lolote hivyo njia pekee iliyobaki ni kujichukulia sheria mkononi. Nao wapate maumivu kama wanavyowaumiza wengine.Hii roho mbaya ya kutekana inaonekana kushamiri. Kama waliweza kumthibiti wasingemua ili tujue ni akina nani waliowatuma.....
Mkuu AMANI bila HAKI ni ndoto.Mungu atuepushie huu ujinga, Tanzania ni nchi ya amani na naomba usiku na mchana amani, upendo , kuheshimiana kubaki kama mojawapo ya tunu zetu
Kumbee ndio mindo wao wa 2020 hivi!Safi sana.
Tukienda kwa Lugha hii hii ya matendo, hata nawao wataanza kua na hofu.
Mkuu ccm haina chochote inachojari zaidi ya madaraka yake.hapa tinajadidiri mtekaji akiyeuawa Sasa subiria kamata kamata itakayofuata then ulinganishe na kamatakamata inayotokea Chadema ikishambuliwa ndo utajua nani yupo nyuma ya huu upumbavuUngekuwa wewe ndugu Sijijui ndio ccm ungekuja na mbinu ya kupumbavu namna hiyo ya kufanya mauaji hovyo mchana kweupe na kuteka teka watu kwenye kipindi Kama hiki ambacho kila mtu jicho lipo kwako kuona utamshawishi vipi akuchague kwa mara nyingine halafu wewe unakuja na mbinu za mauaji huku wakikushuhudia?
Dah! Ukara ni wapi huko ambako hawataki masiala? Natamani wote wapate kilo ya sukari kwa gharama zao, wanywe wajipongeze!