BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
- Sasa mbona mnawajadili Wanaume hapa JF kama ni makosa? I mean mnaandika ujinga ujinga tu wewe utakufa siku sio zako na roho yako ya kimasikini, aliyekuzidi kaukuzidi wewe na wenzako wote hamna uwezo wa Davis Mosha nyamazeni, ndio kwanza kanunua Ghorofa Mbili Jubilee Towers nyie mtakalia kelele huku
Le Mutuz
- Sasa mbona mnawajadili Wanaume hapa JF kama ni makosa? I mean mnaandika ujinga ujinga tu wewe utakufa siku sio zako na roho yako ya kimasikini, aliyekuzidi kaukuzidi wewe na wenzako wote hamna uwezo wa Davis Mosha nyamazeni, ndio kwanza kanunua Ghorofa Mbili Jubilee Towers nyie mtakalia kelele huku
Le Mutuz
Duh we jamaa unajua mambo ya watu ya ndani nahisi ata kuliko watoto wake davis mosha. Nahisi unajua ata mosha anakojoa mara ngapi kwa siku
- Ina maana moja tu kwamba Wanaume wote unaowajadili humu wamewahi kukuonjesha utamu wao right? hahahahahaha unajivua nguo mwenyewe
Le Mutuz
Duh we jamaa unajua mambo ya watu ya ndani nahisi ata kuliko watoto wake davis mosha. Nahisi unajua ata mosha anakojoa mara ngapi kwa siku
Sio ivo tu, anajua mpaka Mosha anaenda round ngapi na anapenda mkao gani.
aibu sana kuondoa urijali wako kisa pesa
Anakazana kuwasifu wanaume wenzie utadhani yeye mlemavu hawezi kupata walichopata
- well kama kawaida yenu kumbe so unajua kuhusu wanaume wengine sasa unadhani ni wote hahahahahahah hivi kwa nini huwa hmauwezi kunyamaza mpaka mjitangaze wote tujue biashara zenu hahahahaha
Le Mutuz
Jiulize nawajadili kwa jambo gani na ni wanaume gani.
Mimi mwanamke wa kike kupewa utamu na mwanaume its natural.
Ila its very unnatural kwa mwanaume kupewa utamu na mwanaume mwenzie its a blasphemy.
- hahahahahaha kumbe unayajua yote haya hahahaha maneno yana maana kubwa sana kuhusu tabia zako maana unajisema mwenyewe hahahahahahaha, nimekuuliza watu wanaowajadili wanaume hapa JF ina maana gani na tafsiri yako mbona hujibu hahahahahaha
Le Mutuz
Mbona unapenda kubadilisha mada wewe babu?
Mimi naona wewe ndiye unayetangaza biashara na wala sio mtu mwingine kama @BunsernBurner.
Tatizo lako akili yako haijatulia ni kama ya mtoto mdogo.
Namaanisha ivi usipende sana kuwasifia matajiri ambao ni wanaume wenzio unatoa mixed signals.
Wewe mwanaume, pesa za wanaume wenzio, zawadi na offer zimekufanya uwe zoba- kabisaa.
- So unataka tuamini kuwa wewe ni mwanamke au vipi maana Mwanamke utajuaje haya unajisema mwenyewe kuwa una utata na jinsia yako hahahahahahahaha
Le Mutuz
- Wale wote wenye biashara zenu naona mpo busy kujitangaza hahahahahah kumbe ndio tabia zenu hizo hahahahaha
Le Mutuz
Mnataka muamini wewe na NANI?
Na hao bwana wako mamilione.?
Unataka unifanyie ukowadi wewe ndio kazi zako.
Kubwa jinga kabisa wewe.
Unapenda kubadilisha maneno ndio maana huwa nakufananisha na mashangingi wapiga porojo.
Tunafuata mfano wako wewe Mwali wetu
- hahaha ni kweli maana nilishakuuza wewe kwanza kwa wanaume au? hahahahahahahaha
Le Mutuz
Kiboko yako wewe ni yule anayekuita Mwali wake
- yaani kumbe wewe ni mwali wa kiboko yako hahahahaha nani huyo hahahahaha
Le Mutuz
mimi ni mwali wa kiboko yako, nashikwa ma.tako na Matajiri
Hisani yangu nawasifu na kuwatukuza.