BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
- Sasa mbona mnawajadili Wanaume hapa JF kama ni makosa? I mean mnaandika ujinga ujinga tu wewe utakufa siku sio zako na roho yako ya kimasikini, aliyekuzidi kaukuzidi wewe na wenzako wote hamna uwezo wa Davis Mosha nyamazeni, ndio kwanza kanunua Ghorofa Mbili Jubilee Towers nyie mtakalia kelele huku
Le Mutuz
Duh we jamaa unajua mambo ya watu ya ndani nahisi ata kuliko watoto wake davis mosha. Nahisi unajua ata mosha anakojoa mara ngapi kwa siku