Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Ukaribu wa Le Mutuz na watu maarufu

Status
Not open for further replies.
- Haya ni maneno ya Kimasikini na ujinga sana, Super Bilionea kama Davis Mosha aende Uwanja wa NDege aingie kwenye ndege ambayo haimuhusu kisa anataka kupiga picha za kujionyesha, mkuu kweli umetumia muda wako wote huu kuandika maneno yote haya kumhusu Super Bilionea ambaye hata utmbike familia yako yote hutakuja kumfikia, hahahaha

- Well, the story is mimi nilikuwa ninaenda Bukoba akaniambia nimsubiri jioni twende na ndege yake ya Private, nikamwambia natangulia ila nitapanda wakati wa kurudi, nikiwa msibani akanipigia na kuniambia ndege yake imepatwa na matatizo ya kioo cha pilot walipokuwa hewani imebidi warudi Dar, na nikaongea na wote waliokuwa kwenye ndege na wakanitumia picha zote za mkasa mzima ninazo.

- Well, toka nimerudi Bukoba sijaonana naye wala kuongea naye cause amesafiri nje ya nchi, now lets say unayoyasema ni kweli hivi ni kweli wewe unajua mali zote za Davis na Majina anayotumia kuzimiliki? Serikali ya Malawi iliuza ndege ya Rais na kudai haina ndege tena ikaja kugundulika kumbe wamedanganya wanayo ndege kwa jina tofauti huko huko South Africa unakokusema vipi unaisemaje hiyo? Kwani ndege ni hela ngapi kwamba Davis mtu anayemiliki mali za ajabu sana anaweza kushindwa kununua?

- Ningesema wewe ndiye mwenye hiyo ndege kweli lakini DAvis Mosha please anaweza kuwa nazo hata zaidi ya moja, siamini mali za watu wengi wa Tanzania walizonazo nje ya nchi zimeandikwa majina yao kamili, ninaamini kwamba Davis anayo ndege na ninaamini haipo kwenye jina lake, kama anaweza kumiliki Gari lenye thamani ya USD $ 400,000 tena kwa miaka zaidi ya 10 now itakauwa ndege ndogo au hujui bei ya ndege ndogo? I mean mtu anamiliki Shamba la ajabu pale Ndurama Arusha lina farasi zaidi ya 10 wewe unajua gharama ya kumtunza farasi mmoja kwa siku?

- Well, kama kawaida mnaniongezea umaarufu tu na hoja za kijinga jinga and I love it, ninasema hivi wewe huna uwezo wa kuwa na ndege ila Davis anao na najua as a FACT anaweza kuwa na ndege hata zaidi ya moja, pole sana kama wewe sio tajiri wengine ni matajiri na utakubali tu mwisho wa safari, il wacha haya majungu ni ujinga!!

Le Mutuz

Povu looote hili ni kumtetea huyo tajiri yako?
Ama kweli umaskini wa akili ni mbaya sana
 
Povu looote hili ni kumtetea huyo tajiri yako?
Ama kweli umaskini wa akili ni mbaya sana

- Ninamtetea kwa FACTS za my business patner najua hujui kuwa mimi na yeye tunafungua Radio na TV yaani African Swahili Media company na leseni tumeshapata pole sana hahahahahaha akili mbaya ni majungu kama yako!1

Le Mutuz
 
- yaani mwanaume mzima unajisema hivi jamani pole sana hahahahahahahaha

Le Mutuz

Lazima siku nikukalishe wewe, naapia utanisifu mpaka mabwana zako wakununie
Mara nakua X wife wako, mara jike, mara dume!
Utakufa kwa kiharo mwali wangu.
 
- Ninamtetea kwa FACTS za my business patner najua hujui kuwa mimi na yeye tunafungua Radio na TV yaani African Swahili Media company na leseni tumeshapata pole sana hahahahahaha akili mbaya ni majungu kama yako!1

Le Mutuz

Una hisa ngapi?
 
William Acha kuwadanganya watu bwanaa hiyo Ndege ni ya FLIGHTLINK TANZANIA hapo terminal one. na haijaabadilisha tail number ni ya south africa kwasababu hata wao flightlink wamekodi south africa for private charter!:tonguez::becky: Taarifa kutoka TERMINAL 1. hehehehe wadanganye huko instagram sio hapa..kama hujandanganya mbona ulibadilisha caption haraka ulivyoshushuliwa kwamba ndege ni ya south africa
 
- Haya ni maneno ya Kimasikini na ujinga sana, Super Bilionea kama Davis Mosha aende Uwanja wa NDege aingie kwenye ndege ambayo haimuhusu kisa anataka kupiga picha za kujionyesha, mkuu kweli umetumia muda wako wote huu kuandika maneno yote haya kumhusu Super Bilionea ambaye hata utmbike familia yako yote hutakuja kumfikia, hahahaha

- Well, the story is mimi nilikuwa ninaenda Bukoba akaniambia nimsubiri jioni twende na ndege yake ya Private, nikamwambia natangulia ila nitapanda wakati wa kurudi, nikiwa msibani akanipigia na kuniambia ndege yake imepatwa na matatizo ya kioo cha pilot walipokuwa hewani imebidi warudi Dar, na nikaongea na wote waliokuwa kwenye ndege na wakanitumia picha zote za mkasa mzima ninazo.

- Well, toka nimerudi Bukoba sijaonana naye wala kuongea naye cause amesafiri nje ya nchi, now lets say unayoyasema ni kweli hivi ni kweli wewe unajua mali zote za Davis na Majina anayotumia kuzimiliki? Serikali ya Malawi iliuza ndege ya Rais na kudai haina ndege tena ikaja kugundulika kumbe wamedanganya wanayo ndege kwa jina tofauti huko huko South Africa unakokusema vipi unaisemaje hiyo? Kwani ndege ni hela ngapi kwamba Davis mtu anayemiliki mali za ajabu sana anaweza kushindwa kununua?

- Ningesema wewe ndiye mwenye hiyo ndege kweli lakini DAvis Mosha please anaweza kuwa nazo hata zaidi ya moja, siamini mali za watu wengi wa Tanzania walizonazo nje ya nchi zimeandikwa majina yao kamili, ninaamini kwamba Davis anayo ndege na ninaamini haipo kwenye jina lake, kama anaweza kumiliki Gari lenye thamani ya USD $ 400,000 tena kwa miaka zaidi ya 10 now itakauwa ndege ndogo au hujui bei ya ndege ndogo? I mean mtu anamiliki Shamba la ajabu pale Ndurama Arusha lina farasi zaidi ya 10 wewe unajua gharama ya kumtunza farasi mmoja kwa siku?

- Well, kama kawaida mnaniongezea umaarufu tu na hoja za kijinga jinga and I love it, ninasema hivi wewe huna uwezo wa kuwa na ndege ila Davis anao na najua as a FACT anaweza kuwa na ndege hata zaidi ya moja, pole sana kama wewe sio tajiri wengine ni matajiri na utakubali tu mwisho wa safari, il wacha haya majungu ni ujinga!!

Le Mutuz

Halafu usirudie tena uongo Mungu hapendi. Hilo Gari la MOsha alinunua kwa nani? sio kutoka kwa mtoto wa Bakressa na baada ya kumsumbua tenaa sanaaaaaa unataka nikutajie alimuuzia kwa shillingi ngapi au nimsitiri business partner wako?
usione tupo kimya mkuuu sema ukweli ndege sio yakee. Ndio ni tajiri ni mpiganaji ila hizi mbwembwe apeleke TRA hahaha ndio tunajua mbwembwe zenu za ukweli za kama umeingiza ndege au la na ndege imengia kwa nani. Na hio kampuni ya media ih wapi mkuuu? si mlinyimwa leseni mkaaamua kufungua online? waliwanyima frequency sio? asa nani Tanzania anasikiliza redio online
 
jamaa katulia zake nyumbani kwake wapambe wanamsifia na kumjadili mitandaoni
 
Staa wa Bongo Movies, Adam Haji ‘Baba Haji' amemtolea uvivu ‘The King Of All Bongo SociaMedia Network' Lemutuz kutokana na tukio la udhalilishaji alilolifanya dhidi yake!

Lemutuz ambaye amezoeleka kwa kutoa hisia na mtazamo wake juu ya mambo mbali mbali mtandaoni, mapema wiki iliyopita alimnanga Baba Haji kupitia ukurasa wke kwenye mtandao wa instagram akidai kuwa amekuwa akisumbua kuhusu michango ya harusikiasi cha kubadili staili ya kudai michango hiyo.

Kutokana na kitendo hicho Baba Haji alishindwa kuvumilia na kuamua kuandika waraka wa kumjibu kumjibu Lemutuz kupitia mtandao huo huo wa instagram ambapo wasomaji wengi walimuunga mkono na kumshambulia Le Mutuz.

Waraka wa Baba Haji ulisema hivi;

Harusi ni jambo la kheri sana kwa wenye kujua, yaani kwa wale ambao Mwenyezi Mungu aliowapa hali ya kulijua hilo! Kiukweli hatuwezi kubisha kwamba ktk Africa watu sote hushauriana na kuchangiana kufanikisha fanction (shughuli) na sio Mahari au maulidi ambayo nimefanya ili kubariki ndoa yangu, na imekuwa kawaida sana kwa miaka ya zamani kabla kuzaliwa kwangu 1980 na hadi sasa.

Wajinga (Kina Lemutuz) wasiojua wenye hila na gilba na inda hupotosha sana watu kwakua tu wao wazazi wao walituibia pesa za mlipa kodi na kwenda kusoma USA au Ulaya na eti wakachukua mila za huko ambazo ni za kiyunani kwa udhalilishaji dhidi yangu eti nilikusumbua kwa simu kukuomba mchango na kisha nikabadili style ya kukufuatilia unichangie mtu mzima ovyo muongo sana wewe huna utu kabisa umejaa nafsi ya kizembe na ujinga uliopitiliza.

Sidhani kama una akili timamu na sidhani kama unalilinda jina la mlezi wako abilisi wa mguu mmoja chago mtembea upande upande.

Baada ya Baba Haji kuweka waraka huu, maoni ya wasomaji wengi yalimshambulia Lemutuzi kwa kile alichokifanya na kumtuliza Baba Haji kwa udhalilishaji aliofanyiwa na mtanzania mwenzake anayejifanya kakulia Marekani.

Hisani: BongoMovies.com
 
nimemuona baba haji mjinga sana alipoingiza suala la "wayunani" hapo alikuwa analenga kuwatukana wakristo, ni mdini au kwasababu yeye baba haji ni muislam? alitakiwa amalizane na lemutuz pekee ila sio kuingiza masuala ya wayunani ambao context yake alikuwa analenga kuwa desturi za kikristo ndizo zinamfanya lemutuz amtukane yeye kwasababu ni muislam. hawa bongo muvie ni washamba sana na wengi ni kachumbari tu.
 
Le mutuz nae katupia picha yuko na super Msomalizzzzz u know. ., mdomo wa mbebez sijui una tatizo gani!
hahahahaaa kazi kwelikweli.
 
Attachments

  • 1434467829572.jpg
    1434467829572.jpg
    53.2 KB · Views: 2,444
Kama ugomvi chanzo ni mchango wa harusi namuunga mkono Le Mutuz.. Mimi nishazinguana na washikaji kibao kisa michango ya harusi, unakuta mtu anakupangia mpaka kiasi cha kutoa ooh elfu 80 haitoshi wewe ni mwanangu nichangie kilo 2 wakati mara ya mwisho kuwasiliana ni graduation ya form 4 kaanza kukutafuta akichange cha harusi.
 
nimemuona baba haji mjinga sana alipoingiza suala la "wayunani" hapo alikuwa analenga kuwatukana wakristo, ni mdini au kwasababu yeye baba haji ni muislam? alitakiwa amalizane na lemutuz pekee sio kuingiza masuala ya wayunani
NAWE PIA JINI MAHABA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom