Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Ni kwenye madhabahu moja maarufu na kubwa Sana jijini Dar es salaam.
Apostle akasema " Kama Wewe ni mzazi unasomesha shule ya Ems na mpaka Sasa mtoto wako bado yupo nyumbani Kwa sababu una daiwa ada simama kwa miguu yako miwili sogea mbele nikuombee"
Maelfu ya masikini na mafukara wakasimama kwenda madhabahuni waombewe wapate ada.
Apostle akasema " Pokea ada"
Waumini Kwa sauti za bashasha wakasema " Napokea"
Ndugu zangu mateso yote ya Nini Haya kumsumbua Apostle Bure tu.
Kama huna hela si umrudishe tu mtoto wako Kayumba?
Naunga mkono MAKAGA CAMPAIGN