Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Watu wenyewe ndio wamechagua njia isiyo sahihiHawa Wachungaji kazi imekua kudhalilisha watu.
Acha makasirikoMnajianzishia accounts 10 ku support cheap propaganda.
Wewe mtoto wako umempeleka Kayumba tuliza komwe. Siku ukipata hela utamuhamisha tu.
Mnajaza server ya JF kwa ujinga usio na mbale wala nyuma
🤣🤣🤣🤣Ukisikia online transaction ndo hiyo Sasa, unapokea ada bila kujua imetokea wapi
Na wewe sema Napokea🤣🤣🤣🤣Mnajianzishia accounts kumi kumi ku support cheap propaganda.
Wewe mtoto wako umempeleka Kayumba tuliza komwe. Siku ukipata hela utamuhamisha tu.
Mnajaza server ya JF kwa ujinga usio na mbale wala nyuma
Ni ujinga na ulimbukeni ndio unao wasumbuahivi kuna ulazima mtoto kusoma uko shida mnataka sifa eti mwanangu anasoma st joseph. Haya
Ni ujinga na ulimbukeni ndio unao wasumbufuhivi kuna ulazima mtoto kusoma uko shida mnataka sifa eti mwanangu anasoma st joseph. Haya
🤣🤣🤣🤣 Hela watoe wapi mkuu?Ngoja tusubiri J5 kama watoto wataenda shule.
Waumini wanakubali wenyewe kudhalilishwaHawa Wachungaji kazi imekua kudhalilisha watu.
Wamejidhalilisha wenyewe Kwa kuwapeleka watoto Wao Shule ambazo hawana uwezo nazoWaumini wanakubali wenyewe kudhalilishwa
Pokea adaMnajianzishia accounts kumi kumi ku support cheap propaganda.
Wewe mtoto wako umempeleka Kayumba tuliza komwe. Siku ukipata hela utamuhamisha tu.
Mnajaza server ya JF kwa ujinga usio na mbale wala nyuma
Mimi piga ua garagaza mtoto wangu hatasoma Kayumba.Wamejidhalilisha wenyewe Kwa kuwapeleka watoto Wao Shule ambazo hawana uwezo nazo
Kama wahaya walikuwa wana wapeleka watotp uganda kusoma wakijua sifa kumbe kujiumizaNi ujinga na ulimbukeni ndio unao wasumbua