Ukata wazidi kuwapiga wazazi wanaosomesha shule za EMs. Nilichokiona madhahahuni jana kimenistua sana

Unahalalisha upumbavu! Ada ilisharahisishwa sana namna ya kulipia.
 
Aliposema pokea Hela
Alikuwa anawapa ama?
Jamaa mwema sana
 
kama hauna pesa mpeleke KAYUMBA na kama unayo Mpeleke EM.

Matatizo siyo tu Ada ,matatizo yapo Mengi tu ,Kuna Kodi ya nyumba ,kuna wengine hata hela ya kula hana.
 
Muogope Allah Wacha majivuno unaweza kufa akaenda kulelewa na ndugu hata hiyo Kayumba yenyewe asimalize
Sina majivuno yoyote. Ni maamuzi ya mtu binafsi.
Umesema nikifa..kumbe sitakuwepo kwahiyo sitakuwa na maamuzi yoyote. Pia hata akisomeshwa na ndugu zangu hatasoma Kayumba hilo natambua.

Halafu haimaanishi kwamba wanaosomesha Kayumba hawana uwezo kuliko mimi. Wengi tu wamenizidi. Ni suala la maamuzi usomeshe mtoto wapi. Wengine tunashinda njaa ili mtoto akasome English medium.
 
Kwahiyo baada ya kuambiwa pokea,je walipokea? Tuanzie hapa kwanza
 
Weka ushahidi (video)
 
Wametaka wenyewe kudhalilika, kwanini upite mbele? kuna mambo hayahitaji kuombewa huwezi omba ombi la Mungu naomba hela, hela zina njia yake, Hata Mungu mwenyewe anasema anakupata nguvu za kupata utajiri, nguvu ni afya ili itakapopambana upate mahela.

Wale wanaotaka kuolewa wapite mbele waombewe, kuna wanaume wanashushwa mbinguni?
 
Matatiizo ya watanzania hayaishi... hata angesema kama wewe unadaiwa kodi ya nyumba hujalipa bado wangesimama kama wote. Hata angesema kama wewe unakaribia 40s huna hata kakiwanja ka 20x20 bado wangesimama. Watanzania ni full matatizo.
 
Hhhhhhhhhh kwaio ada inapatikana kwa kuombewa? Dah afrika Afrika
 
kama hauna pesa mpeleke KAYUMBA na kama unayo Mpeleke EM.

Matatizo siyo tu Ada ,matatizo yapo Mengi tu ,Kuna Kodi ya nyumba ,kuna wengine hata hela ya kula hana.
Wakiitwa wasio na marejesho pengine wakatoka mara mbili ya hao wasio na ada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…