Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

Inasikitisha sana. Hivi inakuwaje unamfanyia binadamu mwenzako unyama kama huo kisa tu mmetofautiana itikadi? Ni lini watanzania tutafika mahali tuone kuwa kutofautiana itikadi jambo la kawaida tu kama ilivyo utani wa Simba na Yanga.

Na kama hizi taarifa ni sahihi kuwa alishambuliwa kwa kuwa alikuwa CHADEMA na taarifa zipo CHADEMA wilaya mpaka kanda hao viongozi wa Wilaya mpaka Kanda wamewajibika vipi kumsaidia kumpatia matibabu kamanda wao? Kama hawakuwa na uwezo wa kumapatia matibabu je wameshindwa hata kuhamasisha wanachadema walio karibu wamchangie matibabu kamanda mwenzao? Je hawaoni kuwa hii itawavunja moyo makamanda wengine kupambania chama chao?

Ushauri wangu kwa CHADEMA taifa kama mnapita hapa. Fanyeni juu chini tena haraka iwezekanavyo mmpatie matibabu kamanda wenu kwani mambo kama haya yanawavunja moyo makamanda wenu. Maana mtu anafikiria nikapambanie chama halafu nikipata tatizo familia ndio inihudumie na kama familia haina uwezo ndiyo imetoka hiyo.
 
Comments zako zote humu jamvini zinaashiria uko upande wa "mwenye nguvu mpishe".
Huo ni ujuha wa kiwango cha juu,hata kama nawe ni mmojawapo wa hao wanaotumika.

kuna mahala ukitumia akili vizuri utanielewa sana, ila ukiishi kishabiki huwezi kuelewa kitu..

Jamaa kaumia si CCM wala CDM wanaotoa msaada na anayeteseka ni mama yake mzazi mpaka wasamalia wema wanapaza sauti ili kijana apate msaada...

Alichofanyiwa sio sahihi, na waliotenda wametenda unyama, lakini kumbuka kabla hujafanya lolote kwenye mapigano lazima ujue unadeal na nani na ni wakati gani na mbinu gani utumie...

Harakati zisikufanye ujitoe mhanga pasipo uhitaji wa kujitoa mhanga ukatesa familia na wewe, leo hii hakuna anayetoa msaada zaidi ya makelele tu kwenye keyboard... msitoe watu kafara kwa kisingizio cha harakati na kunufaisha wajinga wachache waishi kwa neema na kugonga mvinyo.....

Kabla hujajitoa kwenye harakati lazima ujue unachopigania na unaupande unaoupigania, sio oyaoya na kufanywa mbuzi wa kafara uwe stepping stone ya watu kufanya yao...
 
Nadhani kuna tatizo hapo hivyo wafikishe taarifa makao makuu
 
Huyu mbunge inabidi akamatwe na kunyongwa tu, hana faida na nchi.

cc: Rais Samia, Mkuu wa Mkoa Singida, Kamanda Mkuu wa Polisi Singida
 
Poleni sana mkuu.
Unamfahamu afisa elimu..Lelo?
 
Hapo ndipo tunapokosea.
Kama kesi haijafunguliwa tuna hukumu vipi!?
Shinyanga alikamatwa jangili(Nchambi kama sikosei) mmoja mwarabu ana bunduki 27 zaidi ya kituo cha polisi ana ua wanyama lakini alitoka ndani ya wiki 2, kamatwa wewe tu hata na mkia wa sungura kama hutoozea ndani.
 
sio rahisi kama unavyodhani.
Kuna watu wapo jela maisha kisa tu wamechoma kituo Cha polisi pale bunju A.
Tujaribu kwanza sheria
Hawezi kushinda kesi maana hana hela.

Chukua panga mgawane majengo ya serikali.

Itakuwa funzo kwa wote.
 
Fikiria jitu kama hilo Kingu, ikitokea siku moja limekufa, si baraka na nafuu kwa wananchi, japo na wao siku moja watakufa?

Kuna majitu yamelezaliwa hapa Duniani yakiwa na roho za uharibifu, haya kila siku kazi yao ni kuleta mateso kwa watu. Haya yanapopungua ni ahueni kwa wana wa Mungu. Tuombe sana, majitu ya namna hii yapungue au ikiwezekana yaishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…