Ukatili wa beer ya brutal hauko kwenye kiwango cha kilevi

Ukatili wa beer ya brutal hauko kwenye kiwango cha kilevi

Hivi vidude juzi juzi Mwanza pale climax kuna demu nilimuita akaja na rafiki yake asee jumla ya bill yetu wote mpaka saa nane kasoro ilikuwa 128k. Nikarudi hotel kujipooza machungu. Ni vikatili hasa.
Katika kitu tangu najitambua Huwa nipo real..

Siwezi Fanya date na mtu then aje na crew yake kama ya ocsestal super matumila band then nikalalamike pembeni..

Let say mnaenda sehemu kama sleepway cheap cocktail @15,000 🍷

Dawa ni kua real
 
Ukishalewa hauwezi kukaza tena , mimi ndio maana nalewa zangu chumbani , nikimaliza ni kula na kulala tu
 
Naomba kujua inawezekana vipi mtu kumaliza pombe chupa 30 lakini ni ngumu kumaliza maji/ juice/soda litre 5.
Pombe inazuia ufanyaji kazi wa homoni ya anti-diuretic hormone (ADH)
Kazi ya homoni hii ni kudhibiti kiwango cha maji mwilini kupitia figo...huamuru maji yaliyochujwa na figo badala ya kutoka kama mkojo yarudishwe mwilini kwa matumizi mengine

Unapokunywa pombe homoni hii haifanyi kazi sawasawa hivyo kiasi kikubwa cha maji kinachochunjwa na figo hakirudishwi mwilini hutolewa kwa njia ya mkojo ndio maana mtu akinywa pombe huwa anakojoa Sana

Hivyo, tumbo la huyu mtu halijai kama ambavyo huwa akinywa maji
 
Haijalishi, mwanamke mnywa pombe huchakaa sana hata kimuonekano
Mimi kitambo kidogo nilikuaga napenda ku sex na mpenzi/ WAPENZI Tukiwa tume kunywa kidogo elewa kunywa kidogo..

Mke wangu hapendi ninywe pombe sisi ni walokole..ila Mimi ni mlokole mamboleo ...Huwa nakunywa kisiri Siri na Kuna siku anagundua ila mara nyingi hajuagi..
 
Katika kitu tangu najitambua Huwa nipo real..

Siwezi Fanya date na mtu then aje na crew yake kama ya ocsestal super matumila band then nikalalamike pembeni..

Let say mnaenda sehemu kama sleepway cheap cocktail @15,000 🍷

Dawa ni kua real
Sikulalamika wala mkuu, nachangia tu story ya kaka mkubwa mshana jinsi hivo vidude wadada wanavikunywa. Nilikuwa na bajeti ya kutosha tu hiyo siku ma perdiem yalikuwepo.
 
Back
Top Bottom