min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Pombe za kunywea kwenye ma bar ndio maana huwa sizitaki kabisa.Wanaume hela zenu zinakuaga hazina kazi mmh yaan mnanunulia kikundi Cha watu pombeš³ (wanawake)
Pepo yenu Haina mibamiba
Pombe za kunywea kwenye ma bar ndio maana huwa sizitaki kabisa.Wanaume hela zenu zinakuaga hazina kazi mmh yaan mnanunulia kikundi Cha watu pombeš³ (wanawake)
Pepo yenu Haina mibamiba
Ukweli ni kwamba hata maji ukiyasukumiza kwa taratibu yaani mafunda unafuta hata lita 10 kwa siku maana maji yakiingia tumboni hayadumu ni lazima ukojoe na hali hiyo huzidi zaidi endapo ukiendelea kuyasukumizia.Naomba kujua inawezekana vipi mtu kumaliza pombe chupa 30 lakini ni ngumu kumaliza maji/ juice/soda litre 5.
Bonge la tiba ya asiliUkweli ni kwamba hata maji ukiyasukumiza kwa taratibu yaani mafunda unafuta hata lita 10 kwa siku maana maji yakiingia tumboni hayadumu ni lazima ukojoe na hali hiyo huzidi zaidi endapo ukiendelea kuyasukumizia.
Au mimi ni mlevi sana jamani...Kunywa brutal ni kutoutendea haki ulevi, ni kama unakunywa apple juice na ikiwa baridi basi ina starehe ya aina yake ila ndo haina feeling ya kilevi sijui hiyo 5% ni mahesabu gani wamepiga. Au mimi ni mlevi sana jamani...
Bora ninywe zangu safari.
Mwenyewe sivipendi nilikunywa tuwili tuko kama apple punch, nikahamia zangu kwa captainšAu mimi ni mlevi sana jamani...
Bora ninywe zangu safari*.
Hapana kabisa! Uko sahihi sana!
Kwa mia.Bonge la tiba ya asili
Aisee mate yamenitoka mkuu𤤠naikubali hii kitušš¾Una Offer yako kwangu ya CMšŖšæ
Duh wadada mnapiga haya madude aiseAisee mate yamenitoka mkuu𤤠naikubali hii kitušš¾
Aisee,uko vizuri..ni bei gani hiiNa zaidiš«¢
View attachment 3541577
Hizi ni cheap, supermarket kuanzia 20000Aisee,uko vizuri..ni bei gani hii