Ukatili wa beer ya brutal hauko kwenye kiwango cha kilevi

Ukatili wa beer ya brutal hauko kwenye kiwango cha kilevi

Naomba kujua inawezekana vipi mtu kumaliza pombe chupa 30 lakini ni ngumu kumaliza maji/ juice/soda litre 5.
Kuna chemical zipo kwenye pombe, inaitwa looprin (spelling siko sahihi nazo kabisa na pia nimesahau maana niliisoma zama) ila hiyo hufanya pombe ipitishwe upesi na uikojoe haraka haraka tofauti na maji au juice.

Ile kukojoa mara kwa mara huwez kujaza mkojo kibofi, hivo utakunywa tan yako.
 
Mbaya zaidi wanywaji wa hizo kitu wakitaka kunywa kwa pesa zao hununua Konyagi, K-Vant na nyinginezo za jamii hiyo....
Kuna mdau kaandika.. Wanunuzi hawatumii.. Watumiaji hawanunui..😆
 
Unaenda na kamcheps kako "site" kanazipiga hizo bruto zenu huku unamlia timing achangamke kidogo. Wewe upo na nyagi au kvanga yako aaah!!

Akianza kukupa utam lazima uwehuke maana ile soni haipo tena ni kukuachia maini ucheze nayo!!
 
Akianza kukupa utam lazima uwehuke maana ile soni haipo tena ni kukuachia maini ucheze nayo!! 😀
 
Unaenda na kamcheps kako "site" kanazipiga hizo bruto zenu huku unamlia timing achangamke kidogo. Wewe upo na nyagi au kvanga yako aaah!!

Akianza kukupa utam lazima uwehuke maana ile soni haipo tena ni kukuachia maini ucheze nayo!!
Mzee muhuni wewe!🙌🏾
 
Nionyeshe nilipofanya uhuni...nionyeshe!
Unadhani kwa nini watu wakienda site wanakunywa mvinyo kidogo?
Ndio utikise maini ya wajukuu🫢

Kwahiyo unatangaza huna kibamia🤔
 
Ndio utikise maini ya wajukuu🫢

Kwahiyo unatangaza huna kibamia🤔
Hapana, kiba100 hakibadiliki, kipo siku zote, tena uzeeni ndio hali inakuwa mbaya zaidi. Ila haimaanishi mtu ashindwe kuchezea maini kisa kiba100..
 
Back
Top Bottom