Kuna chemical zipo kwenye pombe, inaitwa looprin (spelling siko sahihi nazo kabisa na pia nimesahau maana niliisoma zama) ila hiyo hufanya pombe ipitishwe upesi na uikojoe haraka haraka tofauti na maji au juice.Naomba kujua inawezekana vipi mtu kumaliza pombe chupa 30 lakini ni ngumu kumaliza maji/ juice/soda litre 5.
Proven 💪🏿📌📌🔨Na zaidi🫢
View attachment 3541577
Inamaana kanalewesha kuliko safariKana alkh ya 5% lakini
Mwanamke wa maana hanywi pombe,hachori tattoo wala habandiki kucha ndefu na kope
USIOE MWANAMKE ANAYEKUNYWA POMBE
Wanaume hela zenu zinakuaga hazina kazi mmh yaan mnanunulia kikundi Cha watu pombe😳 (wanawake)
Pepo yenu Haina mibamiba
Akianza kukupa utam lazima uwehuke maana ile soni haipo tena ni kukuachia maini ucheze nayo!! 😀Unaenda na kamcheps kako "site" kanazipiga hizo bruto zenu huku unamlia timing achangamke kidogo. Wewe upo na nyagi au kvanga yako aaah!!
Akianza kukupa utam lazima uwehuke maana ile soni haipo tena ni kukuachia maini ucheze nayo!!
Analipa mwenyewe?Hivyo vi bruto pisi moja ya chuga inakunywa kama 87 hivi, kusukutua mdomo kwanza , halafu anashushia bapa tatu kubwa za nyagi
Mzee muhuni wewe!🙌🏾Unaenda na kamcheps kako "site" kanazipiga hizo bruto zenu huku unamlia timing achangamke kidogo. Wewe upo na nyagi au kvanga yako aaah!!
Akianza kukupa utam lazima uwehuke maana ile soni haipo tena ni kukuachia maini ucheze nayo!!
Nionyeshe nilipofanya uhuni...nionyeshe!Mzee muhuni wewe!🙌🏾
We mzee pia ni mdau?Nionyeshe nilipofanya uhuni...nionyeshe!
Unadhani kwa nini watu wakienda site wanakunywa mvinyo kidogo?
Maini yamechoka sana ndugu yangu, nashtua mara chache sana nikipata kazi iliyonyooka🤣We mzee pia ni mdau?
Hahaa,sawa mzeeMaini yamechoka sana ndugu yangu, nashtua mara chache sana nikipata kazi iliyonyooka🤣
Ndio utikise maini ya wajukuu🫢Nionyeshe nilipofanya uhuni...nionyeshe!
Unadhani kwa nini watu wakienda site wanakunywa mvinyo kidogo?
Msabato muhuni! Kwahiyo unaona aibu ukiwa sober?Maini yamechoka sana ndugu yangu, nashtua mara chache sana nikipata kazi iliyonyooka🤣
Hapana, kiba100 hakibadiliki, kipo siku zote, tena uzeeni ndio hali inakuwa mbaya zaidi. Ila haimaanishi mtu ashindwe kuchezea maini kisa kiba100..Ndio utikise maini ya wajukuu🫢
Kwahiyo unatangaza huna kibamia🤔