Mimi sio muhuni, japo uhuni hauna connection yoyote na dini/imani ya mtu🤣Msabato muhuni! Kwahiyo unaona aibu ukiwa sober?
Hmm kibamia kinaishiaga lango la uzazi tu! Anyways inategema na umri wa wajukuu zako😅Hapana, kiba100 hakibadiliki, kipo siku zote, tena uzeeni ndio hali inakuwa mbaya zaidi. Ila haimaanishi mtu ashindwe kuchezea maini kisa kiba100..
Uko sahihi lakini! Kuna confidence unaivaa hujali wala nini! Especially ukiwa huna hisia na huyo mjukuu😎Mimi sio muhuni, japo uhuni hauna connection yoyote na dini/imani ya mtu🤣
Nikiwa sober naweza shindwa kuzama uvinza kupiga deki ipasavyo. Ukiweka mvinyo kidogo stim yake ni dunia nyingine mjukuu.
Kwani unataka iingie hadi kwenye mfuko wa uzazi? Inch 4-5 zitatosha kabisa, lakini pia mkao, sisi viba100 tuna style zetu, hatuna mambo mengi🤣Hmm kibamia kinaishiaga lango la uzazi tu! Anyways inategema na umri wa wajukuu zako😅
Hata wewe ukipiga kilevi unaschia maini yote! Na wala sio hisia, ni ile kujiamini na kujiachia, chukuchuku inakuwa tam sio poa🤣Uko sahihi lakini! Kuna confidence unaivaa hujali wala nini! Especially ukiwa huna hisia na huyo mjukuu😎
Nampa miaka miwili figo zitajibu.Hivyo vi bruto pisi moja ya chuga inakunywa kama 87 hivi, kusukutua mdomo kwanza , halafu anashushia bapa tatu kubwa za nyagi
Noma sana aiseeInaitwa Brutal beer! Jina moja la kibabe sana! Yaani BIA KATILI
Kama hujawahi kuiona kwa sura unaweza kuogopa sana.. Lakini once unapoiona unaanza kupata mashaka
.Chupa yake ni ndogo halafu kimodo
. Rangi yake ni pink iliyofifia
. Ladha yake ni ya matunda
. Kilevi chake ni asilimia 5%
Kwahiyo sasa ukatili wake unatokana na nini? BEI!
Kimoja kinauzwa Tsh. 5000! Kinanywewa na wadada wa mjini kwa asilimia 99.. Ni kilevi laini sana lakini bei ni katili
Ukatili wake uko kwenye mfuko wa mlipaji.. Michepuko inavipenda sana🙌🏿😎! Akija na mashosti wawili wakanywa tano tano tuu ni laki kasoro😂
Na vilivyo laini wanaweza kila mmoja akamaliza 10 pekeyake🥺View attachment 3540971View attachment 3540972
Nataka nijue mnatikisaje maini tu🤣Kwani unataka iingie hadi kwenye mfuko wa uzazi? Inch 4-5 zitatosha kabisa, lakini pia mkao, sisi viba100 tuna style zetu, hatuna mambo mengi🤣
Hmm inategemea babu! Kuna speciesHata wewe ukipiga kilevi unaschia maini yote! Na wala sio hisia, ni ile kujiamini na kujiachia, chukuchuku inakuwa tam sio poa🤣
Inayo ndio, na jana nimeona wanapromote Serengeti Apple yani iko kma apple punch! Au ni utapeli tu?Hivi hii beer ya brutal ni kweli ina alcohol?
Nadhani ni utapeli tu..zinawafaa wadada..na wale ambao siyo wadau wa mapombe makaliInayo ndio, na jana nimeona wanapromote Serengeti Apple yani iko kma apple punch! Au ni utapeli tu?
Sasa kwa vile mimi ni vivid example, unaweza kuanza utafiti wako kwangu!!Nataka nijue mnatikisaje maini tu🤣
Mimi hizo hapana kwakweli! Jana nimeonja naona kama najaza tumbo tu🚮Nadhani ni utapeli tu..zinawafaa wadada..na wale ambao siyo wadau wa mapombe makali
Hapana nielezee kwanza sitaki kupotezewa muda unajua?🤭Sasa kwa vile mimi ni vivid example, unaweza kuanza utafiti wako kwangu!!
Huwa mnashikiwa panga kununua?Hizi bia zinazopendwa na mademu lakini mara nyingi hawanunui kwa pesa zao wanataka kununuliwa
Vinafanana na saint Anna wine,Mimi hizo hapana kwakweli! Jana nimeonja naona kama najaza tumbo tu🚮