Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

Hapo ndio mwisho wa UKAWA....Kila mtu akifikiria kupigiwa mizinga 21 roho inahama.

Hata Uhuru na Ruto (UhuRuto) hawakuwa marafiki 2007 lakini leo ni wamoja. Kwenye siasa kila kitu kinawezekana!!
 
Na kitakacho wagombanisha 2015 hawa UKAWA ni katika harakati za kumsimamisha mgombea wa uraisi maana hapa Slaa anautaka, Lipum* ndio usiseme ana uchu kabisa wa kuutaka Uraisi maana toka vyama vingi vianze Tz yeye pekee ndio Mgombea wa Uraisi kwenye chama chake...... Hapo ndipo utagundua kuwa hawa viongozi wa CHADEMA, CUF, NCCR, N.K wanauchu wa madaraka na sio vinginevyo.......! Hawa watu hawana uchungu na wananchi ni Majanga tu hawa!
 
Sasa hadi wakati huo wa uchaguzi bado watakuwa UKAWA au watatafuta jina lingine, maana ukawa limekuja kwa ajili ya kazi ya katiba. Hata hivyo, ni wazo zuri kama watapata wabunge wengi katika Bunge la JMT ili kuibana Seraikali katika utendaji kuliko ilivyo sasa ambapo Bunge liko dominated na chama kimoja.

ngoja nikufundishe kitu mkuu...kitendo cha bunge kuwa dominated na chama kimoja sio kosa la hicho chama bali ni ushahidi tosha kwamba ndicho chama kinachokubalika zaidi na wananchi(wapiga kura)...hakuna wa kulaumiwa hapo zaidi ya vyama vingine vilivyobaki, kuhakikisha vinajinadi vya kutosha kwa wananchi ili vipewe nafasi ya kuongoza.
 
Hapa ndipo ninapata shida na wanasias bado nazidi kuamini kuwa wanasiasa wanasema ukweli juu y majina yao tu mengine full kudanganya hapo lipumba hakumbuki tena kama alisema hayo leo ameungana nacho kuunda ukawa.

Kwa vyovyote vile utakuwa unamzungumzia Samuel Luhanga a.k.a Mzee wa Msoga.
 
Kuna comment hapa kwamba hawa wapinzani hata waungane na wapinzani wa nchi jirani ccm itazidi kudunda bila wasiwasi
 
Na kitakacho wagombanisha 2015 hawa UKAWA ni katika harakati za kumsimamisha mgombea wa uraisi maana hapa Slaa anautaka, Lipum* ndio usiseme ana uchu kabisa wa kuutaka Uraisi maana toka vyama vingi vianze Tz yeye pekee ndio Mgombea wa Uraisi kwenye chama chake...... Hapo ndipo utagundua kuwa hawa viongozi wa CHADEMA, CUF, NCCR, N.K wanauchu wa madaraka na sio vinginevyo.......! Hawa watu hawana uchungu na wananchi ni Majanga tu hawa!

naunga mkono hoja
 
Naanza kuona wabunge wengi wa ccm wanapita bila kupingwa!!! Coordination na kuaminiana bado ni tatizo kwenye vyama vyetu na dhana ya usaliti na unafki bado imeshamiri
 
Hapa magamba presha juu! nawasihi upinzani wavae vazi la uzalendo kutetea wanyonge wa nchi hii. Unafiki na vigeugeu waweke pembeni wamsimamishe Prof Lipumba kugombea urais tumalize harakati za kuyatoa mainterahamwe!

Eeehee... mmeshaanza,wewe umesema asimamishwe Prof. Lipumba, ngoja mwenzako nae aseme wake.
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sana, sio tu ccm isibweteke bali itikiswe kwa kila ngazi.
Naamini ikiwezekana upuuzi unaondelea Bungeni wa kupigia Makofi kila Pumba utaisha

Hofu yangu ni ghiriba na mbinu za ccm kuuwa upinzani kwa nguvu zote kuanzia propaganda mpaka fedha.

Ila najua kwenye propaganda wanaweza kushinda Hofu yangu ni kwenye Pesa tu kununua Viongozi waandamizi.!

Kila chama cha siasa lengo lake ni kuongoza nchi kwahyo ikiwa kuna mwanya wowote wa kumshughulikia mpinzani ni wazi utatumika kuwamaliza. Kubwa tuombe wapinzani waache mmelo wa madarala na pesa ili kuwa na upinzani mzuri. Although najua kwenye huo muungano lazima kutakuwa na strugle for power lakini wakijua ni nani adui yao wataacha kupambana wao kwa wao na kufocus kwa adui yao.
 
Good idea baada ya uchaguzi ccm itakuwa na wabunge wengi sana! Sidhani kama upinzani watafika hata 10.
 
Siasa kweli mchezo mchafu,Lipumba na chama chake walikua wanaambiwa wana support ushoga(uliberali) leo hii hao hao chadema wanaungana nao ma liberali?
Teh teh tunachekeshana kwakweli nimeamini Bongo hamna upinzani cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Good idea baada ya uchaguzi ccm itakuwa na wabunge wengi sana! Sidhani kama upinzani watafika hata 10.

Tanzania aisee hamna vyama vya upinzani wote ni cowards wa chama tawala,CUF si ndo inasemekana walifung ndoa na ccm?sasa iweje CDM inaungana nao hao hao?unakumbuka issue ya Wenje kuwaambia CUF ni maliberali wana support ushoga?
 
Avatal yako tuu inaonyesha unakaa karibu na msoga kwa prince unavyoshupaa utafikiri hujawahi badiri hata chupi,mbona jana tu umevaa nyingine,bubu wee.
 
Back
Top Bottom