OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa ushindi aliopata Dr.Slaa 2010 assume ingekuwa ni kombinenga hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio mwisho wa UKAWA....Kila mtu akifikiria kupigiwa mizinga 21 roho inahama.
Sasa hadi wakati huo wa uchaguzi bado watakuwa UKAWA au watatafuta jina lingine, maana ukawa limekuja kwa ajili ya kazi ya katiba. Hata hivyo, ni wazo zuri kama watapata wabunge wengi katika Bunge la JMT ili kuibana Seraikali katika utendaji kuliko ilivyo sasa ambapo Bunge liko dominated na chama kimoja.
Hapa ndipo ninapata shida na wanasias bado nazidi kuamini kuwa wanasiasa wanasema ukweli juu y majina yao tu mengine full kudanganya hapo lipumba hakumbuki tena kama alisema hayo leo ameungana nacho kuunda ukawa.
Na kitakacho wagombanisha 2015 hawa UKAWA ni katika harakati za kumsimamisha mgombea wa uraisi maana hapa Slaa anautaka, Lipum* ndio usiseme ana uchu kabisa wa kuutaka Uraisi maana toka vyama vingi vianze Tz yeye pekee ndio Mgombea wa Uraisi kwenye chama chake...... Hapo ndipo utagundua kuwa hawa viongozi wa CHADEMA, CUF, NCCR, N.K wanauchu wa madaraka na sio vinginevyo.......! Hawa watu hawana uchungu na wananchi ni Majanga tu hawa!
Hapa magamba presha juu! nawasihi upinzani wavae vazi la uzalendo kutetea wanyonge wa nchi hii. Unafiki na vigeugeu waweke pembeni wamsimamishe Prof Lipumba kugombea urais tumalize harakati za kuyatoa mainterahamwe!
Mkuu umeongea jambo la msingi sana, sio tu ccm isibweteke bali itikiswe kwa kila ngazi.
Naamini ikiwezekana upuuzi unaondelea Bungeni wa kupigia Makofi kila Pumba utaisha
Hofu yangu ni ghiriba na mbinu za ccm kuuwa upinzani kwa nguvu zote kuanzia propaganda mpaka fedha.
Ila najua kwenye propaganda wanaweza kushinda Hofu yangu ni kwenye Pesa tu kununua Viongozi waandamizi.!
Good idea baada ya uchaguzi ccm itakuwa na wabunge wengi sana! Sidhani kama upinzani watafika hata 10.
Hata muite na vyama kutoka kenya uganda CCM can never wachia nchi!
Hapo CCM matumbo moto!
Kwa vyovyote vile utakuwa unamzungumzia Samuel Luhanga a.k.a Mzee wa Msoga.