Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Kama Wajerumanj wanatusaidia kupata Katiba ya Wabanchi na si ya CCM, tunapaswa kuwashukuru sana. Mungu awazidishie
Kwani upuuzi wa UKAWA unamnyima Jk usingizi? hata wakiwachukua wazungu wao wakaenda nao ikulu kwenye mazungumzo, JK atawapokea tu, ila anajua ni wapuuzi tu.
vibaraka ni nyie magamba ambao wamebakiza mashimo tu huko kwenu na kuondoka na dhahabu wakati wananchi wa kwenu hawana maendeleo hata chembe, wameachiwa ujinga wa kulogana tu na mjanja wao ndo wewe unaeongozwa na tumbo.Rudi kwenye maada kwa nini mnahongwa kuvuruga nchi yetu nyie vibaraka weusi msiojitambua?
Housejizo...kama ilishaisha why wasting you times kwenye bunge la katiba si msaini tu hela kwa siku zilizobakia mkashibe na ndugu zenu kama mlivyozoea? nothing is new kwa watanzania jinsi mnavyotunyonya....everything has its beginning, so is its end!
habari za kijinga kwa watu wajinga...magazeti kama jambo leo,tazama hazihaminiki na wanaandika uzushi tu zenye lengo la kunufaisha kundi.na hii ni dalili ya kutapatapa
UNAZI WA KICHAMA UNAWEZA UKAKUZUZUA MPAKA UKASAHAU UNAOWAPONDA NDIO WADAU WAKO MUHIMU..AMKA...
Ujeruma wanafadhiri kikwete nae anataka aanzishe mazungumzo nao tena. Kweli ukawa itawapa mimba mwaka huu
Kazi ilishaisha mkileta ujinga katiba ya zamani ndiyo itakayotumika tena bila maboresho yoyote.
vibaraka ni nyie magamba ambao wamebakiza mashimo tu huko kwenu na kuondoka na dhahabu wakati wananchi wa kwenu hawana maendeleo hata chembe, wameachiwa ujinga wa kulogana tu na mjanja wao ndo wewe unaeongozwa na tumbo.
Tutawapa slaves ambao ni magamba waliotunyonya miaka 50.Mkuu, wakishawafadhili, mtawalipa nini?
Hapo nimekusoma, anajaribu kujificha kwenye kichuguu ili maovu yake yasishughulikiwe,kwa kuwa ukitaka mambo yako yakunyookee( kuuza unga,rushwa na wizi wa kila aina) njoo ccm - by sumayeMmiliki wake ni yule jamaa aliyemsindikiza masogange na lile begi lililojaa kemikali za bilioni 6.
Ulisema uko kundi hili eeeeeeeeee!
nakuunga mkono mno, tuko pamoja.Jambo leo ni gazeti la udaku wa siasa wala huwezi kuliamini hata kama ni ukweli.
Je,CCM nao wanapokea wapi pesa au wao ni kwa kupitia kumnyonya Mtanzania?
umepitwa na wakati pole sana
Kama mtakumbu waungwana Sikh za nyuma walisema chadema wanapomea pesa halamu Leo ukawa .hawa jamaa wanatafuta malango Wa kutokea